Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Dar wametandika Mabomba tangu Jana 2021 hadi leo hakuna kinachoendelea naamini angekuwepo JPM maji yangekuwa yanatoka, kwasasa cartels wa Maji hawataruhusu hilo litokee nchi tabu sana hii, dilidili tu
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
Namshauri Rais na Amiri Jeshi Mkuu afanye mabadiliko kwenye viongozi wa majeshi ya Mambo ya ndani ya nchi.
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Haya ndio matokeo ya ongezeko la bajeti ya maji,hadi Vijijini maji ni bombani.

Ruwasa at work πŸ‘‡











 
Awesome
 
Nakupenda Tanzania
 
Tunasonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…