Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia | Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21.

Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza ametenga jumla ya Tshs 589.4BL kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji safi na salama mjini na vijijini nchi nzima, bajeti hii ni sawa na ongezeko la 284% kutoka Tshs 207.5BL zilizotolewa kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji huo wa maji safi na salama FY2020|21,Bajeti hii ya Rais Samia ni karibu maratatu zaidi ya ile ya mtangulizi wake,

Kwakuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke na kwakuwa zaidi 80% ya wanaopata adha ya maji mjini na vijijini ni wanawake hatimaye rais huyu mnyenyekevu ameamua kwa vitendo " Kuwatua Ndoo Vichwani " wanawake wenzake kwa kutenga kiasi hiki kikubwa cha fedha kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji mjini na vijiji,kiasi hiki cha fedha ya maendeleo hakijawahi kutengwa na serikali yeyote tangu uhuru,Heko Rais Samia.

Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama mjini na vijini ni 79.15% huku mjini ikiwa ni 86% na vijijini ni 72.3% huku lengo la Serikali lilikuwa ni kufikia 85% mwaka 2025 na 90% ifikapo mwaka 2035 but kwa kasi hii ya Rais Samia ambapo thamani ya bajeti ya maji ya mwaka mmoja ya Rais Samia ni sawa na thamani ya miaka mitatu ya bajeti ya maji ya Serikali iliyofanya makisio hayo,kwa lugha rahisi kabisa " Mwaka mmoja wa maji wa Rais Samia ni sawa na miaka mitatu ya maji ya mtangulize wake " au 1:3 yaani malengo ya maji ya Miaka 10 kwenye Serikali iliyopita yatatekelezwa kwa miaka 3.3 tu na Rais Samia, Kama kuna mtu wa kuombewa zaidi kwa sasa Tanzania basi ni Rais Samia.

#Nchi yenu iko katika Uelekeo Sahihi zaidi pengine tangu kuasisiwa kwake,

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA

Kazi kazi
 
Haya mambo haya
 
Bajeti ya Maji hii itatusaidia sana kama Taifa,

Huyu Mama hakika anastahili pongezi
 
IMG-20220204-WA0042.jpg
 
Niliwaambia huyu mama ni mpango wa Mungu mkaleta longolongo,
Mama anafanya makubwa tena kimya kimya
Samia hatakiwi kuwekewa mgombea yoyote 2025

Nyie CCM mnayempinga jitafakarini tu

Mwandishi endelea tunakuelewa sana
Leo nakubali maneno yako mkuu
 
Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia tu

| Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21.

Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza tu alitenga jumla ya TZS 589.4BL

Fedha hii ni kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji safi na salama mjini na vijijini nchi nzima,

Bajeti hii ni sawa na ongezeko la 284% kutoka Tshs 207.5BL zilizotolewa kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji huo wa maji safi na salama FY2020|21,

Bajeti hii ya Rais Samia ni karibu maratatu zaidi ya ile ya mtangulizi wake Hayati Dkt John John Joseph,

Kwakuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke na kwakuwa zaidi 80% ya wanaopata adha ya maji mjini na vijijini ni wanawake

Rais huyu mwanamke tena aliye mnyenyekevu ameamua kwa vitendo " Kuwatua Ndoo Vichwani " wanawake wenzake

Rais Samia ametenga kiasi hiki kikubwa cha fedha kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji mjini na vijiji,

Mtakumbuka kuwa kiasi hiki cha fedha ya maendeleo hakijawahi kutengwa na Serikali yeyote tangu uhuru,Heko Rais Samia.

Tunafahamu wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama mjini na vijini ni 79.15%,

Upataikanaji wa maji mjini ikiwa ni 86%,

Upatikanaji wa maji vijijini ukiwa ni 72.3% ,

Lengo la Serikali ni kufikia 85% mwaka 2025,

90% ifikapo mwaka 2035,

Lakini, kwa kasi hii ya Rais Samia Suluhu Hassan ambapo thamani ya bajeti ya maji ya mwaka wake mmoja ni sawa na thamani ya miaka mitatu ya bajeti ya maji ya Serikali iliyofanya makisio hayo,

Mwaka mmoja wa maji wa Rais Samia ni sawa na miaka mitatu ya maji ya mtangulize wake "

Uwiano ni 1:3 yaani malengo ya maji ya Miaka 10 kwenye Serikali iliyopita yatatekelezwa kwa miaka 3.3 tu na Rais Samia,

Kama kuna mtu wa kuombewa zaidi kwa sasa Tanzania basi ni Rais Samia Suluhu Hassan,

#Nchi yenu iko katika Uelekeo Sahihi zaidi pengine tangu kuasisiwa kwake miaka mingi iliyopita,

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 2196046
Nzuri sana
 
Samia ni noma Sana ,Ametekeleza bajeti ya Wizara ya Maji Kwa 95%,haijawahi kutokea 👇

20220512_190501.jpg
 
Back
Top Bottom