Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Kazi kazi
 
Haya mambo haya
 
Bajeti ya Maji hii itatusaidia sana kama Taifa,

Huyu Mama hakika anastahili pongezi
 
Niliwaambia huyu mama ni mpango wa Mungu mkaleta longolongo,
Mama anafanya makubwa tena kimya kimya
Samia hatakiwi kuwekewa mgombea yoyote 2025

Nyie CCM mnayempinga jitafakarini tu

Mwandishi endelea tunakuelewa sana
Leo nakubali maneno yako mkuu
 
Nzuri sana
 
Samia ni noma Sana ,Ametekeleza bajeti ya Wizara ya Maji Kwa 95%,haijawahi kutokea 👇

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…