Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Mkuu haujasikia mwaka huu mvua ni kidogo?

Bado tu hujaelewa maana ya kuzuia watu kuuza chakula nje?


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Nimeelewa najadiliana na nani. Ngoja nikanywe supu ya pweza.
 
Kada nimependa sana Royalty yako kwa Taifa, 😍😍😍

Endelea hivyohivyo,


#KAZI IENDELEE KWA KASI NA WELEDI ZAIDI
Naam komredi....

Shukran kwa "compliment" 🙏

Yanaanzia utotoni mkuu... uzalendo kwa nchi ni jukumu pia la WAZAZI kuwafundisha watoto wao wanapokaa nyumbani kuongea...

Ifikie mahali si tu watoto kufundishwa mashuleni bali WAZAZI waijue thamani halisi ya wao "kuhudumiwa" na UTULIVU na AMANI ya mama Tanzania ambayo ni bora mno na tofauti kuliko mataifa mengi barani afrika.....

Mkuu wangu, SIEMPRE SERIKALI MBILI ZA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA💪😍

#KAZI IENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Najifunza mambo sana toka kwako,

😍😍😍

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Najifunza mambo sana toka kwako,

😍😍😍

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Karibu sana mkuu wangu🙏

Tuko pamoja kaka

Tuendelee kuyaeleza mazuri ya CCM ,ya serikali ya awamu ya 6 na taifa letu kwa ujumla👍

#Kazi Iendelee kwa kasi & weledi zaidi 💪
 
Unaenda NFRA na gunia 500, unaambiwa tunanunua 10 tu, wakati umesafirisha mzigo kwa zaidi ya 300km. Hivi unajua hasara ya hawa wakulima au unapiga ubuyu tuu.
Hao wa gunia 3,000 sio wakulima ni wafanyabiashara.Kwa nini usiende kufanya survey kwanza
 
crap
 
Mama anafanya kazi nzuri ila na huyu Waziri wa maji anapambana sana.
 
Sanaa tuu hizi , mwisho wa siku wakati wa kampeni mtaambiwa sasahivi mtaanza kunywa na kufulia maji ya kilimanjaro ama hill nchi nzima, kuna watu wana mtindio wa ubongo kabisa humu
Nakumbuka hata wakati wa Magufuli (mama alikuwa msaidizi wake) asilimia zaidi ya 70 ya miradi ya maji ilifeli kutokana na ufisadi. Ni kati ya wizara ambazo zilimchefua sana Magufuli mpaka akamuondoa Profesa Makame Mnyaa Mbarawa kwenye uwaziri wa wizara husika.
 
Unataka kusema nini mkuu?
 
Unataka kusema nini mkuu?
Hivi wewe umemaliza lini masomo yako?
Kuna wakati Mwandosya akiwa waziri wa maji bajeti ilizidi bilioni 700 lakini zilitolewa 30% sasa unashangaa bilioni 500!
 
Hivi wewe umemaliza lini masomo yako?
Kuna wakati Mwandosya akiwa waziri wa maji bajeti ilizidi bilioni 700 lakini zilitolewa 30% sasa unashangaa bilioni 500!
Bajeti ya maendeleo ya maji sio budget in total soma vizuri nilichoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…