Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Sababu za mbolea kupanda bei mbona zinajulikana.....

UVIKO 19 umeathiri viwanda vya nje kutoizalisha kwa WINGI....hujalisikia hilo ?!!!
Mshiko mnao, si muweke ruzuku ili tupate unafuu tulime tena, maana mwakani wote tunakuja mjini tupangwe vizuri tufanye umachinga.
 
Mshiko mnao, si muweke ruzuku ili tupate unafuu tulime tena, maana mwakani wote tunakuja mjini tupangwe vizuri tufanye umachinga.
Unadhani lengo la serikali hivi karibuni kuzitoa bilioni 50 kununuliwe mahindi kutoka kwa wakulima wadogo katika mikoa 7 hawakulenga UNAFUU wa kilimo?!!!
 
Jamaa anasema hii Team ni ID moja 😍😍

Huu mwaka mtajua hamjui
Ndio maana nikamshangaa kwa kumpa swali....wengine tunatumia ID zenye majina yetu....

Anatapatapa kwa mziki mnene wa mh.SSH 🤣
 
🤣🤣🤣🤣 Hawakutegemea na unaweza kuta huyo ni CCM mwenzetu kabisa
Ha ha ha kama ndivyo basi hatutoacha kumkumbusha NIDHAMU YA CHAMA NDANI YA MADARASA YA ITIKADI ya kwamba UTII NI LAZIMA KWA MWENYEKITI WETU WA CCM 💪
 
Unadhani lengo la serikali hivi karibuni kuzitoa bilioni 50 kununuliwe mahindi kutoka kwa wakulima wadogo katika mikoa 7 hawakulenga UNAFUU wa kilimo?!!!
Unaenda NFRA na gunia 500, unaambiwa tunanunua 10 tu, wakati umesafirisha mzigo kwa zaidi ya 300km. Hivi unajua hasara ya hawa wakulima au unapiga ubuyu tuu.
 
Wewe jamaa mara uko Ruvu,

Sasa Ruvu sio mjini hapo 😍😍
Maji hayapo, si uje hapa Kidogozero Ruvu uone kama kuna maji, njoo hapa Maguru matali uyaone hayo maji, na tupo 5km toka mto Ruvu.
 
Unaenda NFRA na gunia 500, unaambiwa tunanunua 10 tu, wakati umesafirisha mzigo kwa zaidi ya 300km. Hivi unajua hasara ya hawa wakulima au unapiga ubuyu tuu.
Mkoa gani au ndio kuzusha tu,
 
Huko tutafika...

Ila vigezo na masharti kufuatwa....

Maelekezo ni kwa wakulima WADOGO....gunia 500 ni tani 50...mkulima mdogo huyo?!!!

Utaratibu si kununua kwa WAFANYABIASHARA NA WAKAA KATI....

Fuatilia ujiridhishe mkuu wangu....
Unaenda NFRA na gunia 500, unaambiwa tunanunua 10 tu, wakati umesafirisha mzigo kwa zaidi ya 300km. Hivi unajua hasara ya hawa wakulima au unapiga ubuyu tuu.
 
Kutenga hela kwenye bajeti - mbali, kuzitoa ziende zilikopangiwa - mbali na kuzitumia palipokusudiwa na kwa usahihi - mbali!
Watakaotumia fedha vibaya atawajuaje? - wa kumwambia hawapo, wamebaki wa ndiyo Mama
 
Back
Top Bottom