Bajeti ya Serikali 2008/09 - Exclusive Thread

There was a thread with Budget in this forum... i think it is the one attached here
 

Tatizo langu liko kwenye hiyo pace ya maendeleo. Utazeme mji kama Dar es Salaam au Arusha. Ukitaka miji hii iwe na hadhi ya kuonekanana watu wafanye kazi bila matatizo unahitaji kuinject kwenye miundombinu fedha zinazokaribiana na bajeti ya nchi nzima. Mji kama Dar, huwezi kumwelekeza mtu kuja nyumbani kwako hadi umwambie akusubiri kwenye kiytuo cha basi ambacho nacho hakina jina. Angalia matatizo ya shule, hospitali nk. Kiasi cha fedha kilichowekwa ni kidogo sana. Haya njoo kwenye kipato cha mtu wa kawaida. Unataka mwananchi aishi kwa mshahara na afanye kazi kwa bidii. Jaribu kuchukulia graduate anayeanza kazi serikalini, hana nyumba, kitanda wala shuka. Starting salary 300,000/-. Hawezi kulipa nyumba maana mwenye nyumba anataka laki moja na nusu (less expensive ones) kwa mwezi na anataka kwa mwaka mzima. Mind you, mshahara huu ni less than 300$ kwa mwezi. Hapa hujaongelea mahitaji mengine. It is nothing, kwa kweli. Tangu nimeajiriwa miaka kadhaa iliyopita, nimekuwa nikiambiwa kuwa hali intakuwa nzuri. Lakini kila mwaka ni empty promises, nothing new. Nenda katika ofisi za serikali, angalia watumishi wetu kama waalimu, askari nk. Utaona poverty in their faces. Watoto wao hawawezi kusoma kwa raha! Bado hiyo hela ndogo, nusu yake inaingia kwenye mifuko ya mafisadi. Watasema wanajenga Barabara, but u look what they are constructing, u realise that ni danganya toto. Hatuna hata High way moja, worth the name. Barabara zetu life span yake ni less than 10 years! It is a pity!
 
No just poor, poor leadership.

Poor leadership I agree, but is it only about leadership? what about our economists, do they advise the leaders well? Just curious!
 
Yes, our economist advise our leaders. But the role of economists is advising not decision-making. Decision-making rests with our leaders.

And since our leaders do not stick to the makini decisions, or even if they do, they do them after an appreciable delay, then for sure we remain where we are.
 

I agree, but do they get the right advise! If they do and igore such advise, then one needs to stand up and say it in public. If that is repeated, after sometimes things will change for the better. Tatizo letu, tukishauri na ushauri wetu usifanyiwe kazi tunanyamaza kwani tukiongea tunaogopa kukitia kitumbua chetu mchanga!
 
I agree, but do they get the right advise! If they do and igore such advise, then one needs to stand up and say it in public. If that is repeated, after sometimes things will change for the better.



They do get the right advice. The problem is on the implementation of the decisions.

Few example, we have outstanding economists (or any other proffesionals in other cadres) who are are found valuable in consultancy but whilst of Tanzania. These same economists advice our very same govt, but they don't get heard.

In understanding our leaders and their priorities, we have to look at the private sector is doing. In private sector, all the corporates are after results, and immediate results. They do all that is supposed to be done, from forecasting to daily management et la. We all know that most of the work force is still at large, Tanzanians. Then why are same Tanzanians, in private capacities do wonders but not when in govt ?

We all know that for a country to progress, certain things must be given highest priority e.g. development of infrastructure. If the govt had put emphasis and inject massive capital in infrastructure then we would be far from now.

We have seen that the latest development on mining. The govt has failed to start levying the proposed taxes, for reasons known to them, even after several committees being formed, let alone the public outcry. We all know that capitalist are hard to deal with but they can always negotiate on a win-win situation. This is purely corporate norm.

ATCL: We saw the joint management of ATCL and SAA. The company ran successfully, at least on the operations point of view. But immediately after SAA pulled out, we have put a management that is not responsive to changes, that bends things to individual selfishness and not of the public. These are the kind of leaders we have. But i am 100% sure we have very competent proffessionals who are capable of running ATCL and at a profit.

Bottom line, it all starts with the leaders. Leaders are adviced on the viable decisions to take, but the decision-making lies to them. If the leaders want to change TZ from rock bottom country to high-flying country, then yes, we can.
 
....first paragraph must have read:

Few example, we have outstanding economists (or any other proffesionals in other cadres) who are are found valuable in consultancy but whilst out of Tanzania. These same economists advice our very same govt, but they don't get heard.
 

In that case, we must hold the politicians responsible for our misery. I do not think any one of them dreams or thinks of changing the lives of Tanzanians. What they are interested of is to fill their accounts with ill founded wealth and end up spending them same on luxaries they do not even need. When they are told of the actual living standard of Tanzanians, they raise alarm claiming that Wapinzani wanadanganya kwani uchumi wa nchi unakua! Unakuwa how coz every other day is worse than the previous one! Look at the price of essential commodities at the moment, look at petrol, rice, power, water, sugar and ofcourse cereals! A common man cannot afford! We need revolutionary minds, and we need them fast.
 
Kwasababu tumeshajua UNAFIKI WA MAFISADI...Ni wazi sasa mtu asilete habari za kuwa kuna mwana CCM mzalendo...Hilo litasababisha wengine tufungiwe.
CCM WALISHAWABARIKI MAFISADI NA WAMEDHIHIRISHA HILO KWA KUIPITISHA BAJETI AMABYO ILIPIGIWA KURA NA WOTE WALIO WASAFI NA WACHAFU.
WOTE WAMEKWENDA NA MAJI NA WIMBI LA UFISADI HUKU WAKIJUMUIKA NA BAADHI YA MAMLUKI KAMA CHEYO MOMOSE!
CCM BYE BYE.
 

Hili ni onyo au tisho(tishio) kwa watakaoleta habari za ccm?
 

Naombeni kujua kama Anna Kilango naye ka vote yes kwenye hili .Maana anajua vyema madudu ya Mkullo.
 
Naombeni kujua kama Anna Kilango naye ka vote yes kwenye hili .Maana anajua vyema madudu ya Mkullo.

Wasanii hawa!
Wote kitu kimoja!
Walitaka wamtumie kuwavuruga wazalendo1
Sisi tunajua mzee....KURA KURA!
Amewabariki mafisadi...Nyie hamjui mama lake na Kikwete aliyesema CCM hakuna mafisadi ni lao moja!
Amekataa waziwazi kubaki kwa wazalendo...
Kuna tofauti gani kati yake na MAFISADI WOTE WALIOPIGA KURA YA NDIO KWA MASLAHI A CHAMA NA MWENYEKITI WAO FISADI KUU?

NB:Hivi kweli kuna wale wanaoamini kuwa CCM ndio wa kuwaamulia wananchi kuhusu masuala nyeti?
EPA NI UGAIDI NA TABIA INAYOELEKEA KUWA YA KIMAFIOSO ILIYOFANYWA NA CCM.
 
Wamiliki Wote Wa Bank M Iliyoweka Pesa Za EPA Mara Baada ya fedha hizo kutolewa BOT Wakamatwe!
Ripoti Ya Epa Isomwe Bungeni Na Wazalendo Waendeleze Mapambano
 
Kuna tofauti gani kati ya kuvote no, au abstain kwenye hii "evilish idea"?

Tofauti ipo. Ni kuwa unaonyesha kile unachoamini. Kuwa na msimano na si kupiga kura ya ndiyo kwa sababu unaogopa kuwa utakuwa pekee yako na kura ya NO. Maamuzi hayafanywi hivyo. Hapa kwa kweli ni vizuri tujue, si lazima ila ni muhimu.
 
Wale watu waliokuja na hoja ya mgombea binafsi nao waliona mbali kama wengi wetu.
Wanajua hilo...Ila mimi nina amini KABISA KWA MOYO WANGU WOTE KUWA HUU NI WAKATI WA MUNGU...NA NI KWELI KIKWETE ALIKUWA NI MPANGO WA MUNGU KAMA WALIVYOSEMA VIONGOZI WETU WA DINI WENYE VIPAJI VYA UNABII...WAKWAPI WALE WALIOKUWA WAKIWABEZA VIONGOZI WETU WA DINI?
 
Tofauti ipo. Ni kuwa unaonyesha kile unachoamini. Kuwa na msimano na si kupiga kura ya ndiyo kwa sababu unaogopa kuwa utakuwa pekee yako na kura ya NO. Maamuzi hayafanywi hivyo. Hapa kwa kweli ni vizuri tujue, si lazima ila ni muhimu.

Mkuu nyangumi,
Swali ni tofauti kati ya kuabstain (walikofanya wapinzani) na kupiga kura ya hapana. Otherwise ninaelewa namna siasa inavyochezwa so sitegemei jibu la kiufundi zaidi ya jibu la kisiasa.
 
Mkuu nyangumi,
Swali ni tofauti kati ya kuabstain (walikofanya wapinzani) na kupiga kura ya hapana. Otherwise ninaelewa namna siasa inavyochezwa so sitegemei jibu la kiufundi zaidi ya jibu la kisiasa.

MWK Nimeanzisha thread ya kuomba msaada kutoka kwa viongozi wetu wa dini kwani TAIFA LA MUNGU LINAELEKEA KUANGAMIA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…