Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nadhani sababu za kuendelea kuwa masikini zinatokana na mipango hafifu na isiyo ya kweli ya kuleta maendeleo ya haraka. Upendeleo ulioutaja hapo juu ndugu yangu Jobo ni sehemu tu ya rasilimali nyingi tuliyonayo, ikiwemo watu, Bahari inayotuunganisha na nchi nyingi za Asia (Nzuri sana kwa Biashara) na kadhalika.
Inabidi nchi hii ijengwe kwa nguvu zote za wananchi wake. Sasa hivi tunategemea sana Misaada ya nchi wahisani na uwekezaji kutoka nje kabla hatujatumia kikamilifu nguvu za ndani na uwekezaji wa ndani. Ni vigumu na sidhani kama inawezekana kwa mwekezaji kuja Tanzania kuwekeza kwa munufaa ya Tanzania. Atafanya kila jitihada kupata manufaa yote kutoka kwenye nchi hii yenye rutuba ya rasilimali. Tutakapo amka ndipo tutakapoona maendeleo yakianza kuchukua kasi. Kuna mahitaji makubwa ya mabadiliko ya kimtizamo kuhusu uchumi wa nchi yetu na maendeleo yake.
Bajeti ya 2008-2009 sio mbaya sana. Inaanza kuonyesha mwelekeo wa kukidhi na kupunguza matatizo ya wananchi wa kipato cha chini na cha kati. Tukiendelea hivi tutaanza kufanikiwa kidogo kidogo. Inabidi kuanza kuweke msukumo wa ziada kwa waTanzania kuwekeza na kunufaika na uwekezaji kwenye nchi yao kabla mtu kutoka nje kuanza kunufaika na uwekezaji katika nchi yetu.
Naomba kutoa hoja.
...Why are we poor! Is it a curse?
No just poor, poor leadership.
Yes, our economist advise our leaders. But the role of economists is advising not decision-making. Decision-making rests with our leaders.
And since our leaders do not stick to the makini decisions, or even if they do, they do them after an appreciable delay, then for sure we remain where we are.
I agree, but do they get the right advise! If they do and igore such advise, then one needs to stand up and say it in public. If that is repeated, after sometimes things will change for the better.
Tatizo letu, tukishauri na ushauri wetu usifanyiwe kazi tunanyamaza kwani tukiongea tunaogopa kukitia kitumbua chetu mchanga!
Yes. Na huu ndio Utanzania wetu, nidhamu ya woga !! Hata pale peusi (black) kabisa tunasema hapana sio peusi ni kijivu (grey).
....first paragraph must have read:
Few example, we have outstanding economists (or any other proffesionals in other cadres) who are are found valuable in consultancy but whilst out of Tanzania. These same economists advice our very same govt, but they don't get heard.
Kwasababu tumeshajua UNAFIKI WA MAFISADI...Ni wazi sasa mtu asilete habari za kuwa kuna mwana CCM mzalendo...Hilo litasababisha wengine tufungiwe.CCM WALISHAWABARIKI MAFISADI NA WAMEDHIHIRISHA HILO KWA KUIPITISHA BAJETI AMABYO ILIPIGIWA KURA NA WOTE WALIO WASAFI NA WACHAFU.
WOTE WAMEKWENDA NA MAJI NA WIMBI LA UFISADI HUKU WAKIJUMUIKA NA BAADHI YA MAMLUKI KAMA CHEYO MOMOSE!
CCM BYE BYE.
Hili ni onyo au tisho(tishio) kwa watakaoleta habari za ccm?
Kwasababu tumeshajua UNAFIKI WA MAFISADI...Ni wazi sasa mtu asilete habari za kuwa kuna mwana CCM mzalendo...Hilo litasababisha wengine tufungiwe.
CCM WALISHAWABARIKI MAFISADI NA WAMEDHIHIRISHA HILO KWA KUIPITISHA BAJETI AMABYO ILIPIGIWA KURA NA WOTE WALIO WASAFI NA WACHAFU.
WOTE WAMEKWENDA NA MAJI NA WIMBI LA UFISADI HUKU WAKIJUMUIKA NA BAADHI YA MAMLUKI KAMA CHEYO MOMOSE!
CCM BYE BYE.
Mama Killango kura yake ilikuwa ipi?
Ya kubariki bajeti ya mafisadi ama ya ku abstain from evilish ideas?
Naombeni kujua kama Anna Kilango naye ka vote yes kwenye hili .Maana anajua vyema madudu ya Mkullo.
Kuna tofauti gani kati ya kuvote no, au abstain kwenye hii "evilish idea"?
Tofauti ipo. Ni kuwa unaonyesha kile unachoamini. Kuwa na msimano na si kupiga kura ya ndiyo kwa sababu unaogopa kuwa utakuwa pekee yako na kura ya NO. Maamuzi hayafanywi hivyo. Hapa kwa kweli ni vizuri tujue, si lazima ila ni muhimu.
Mkuu nyangumi,
Swali ni tofauti kati ya kuabstain (walikofanya wapinzani) na kupiga kura ya hapana. Otherwise ninaelewa namna siasa inavyochezwa so sitegemei jibu la kiufundi zaidi ya jibu la kisiasa.