Mwigulu hafai kuwa kiongozi wa watu labda msafara wa panya.Mama aliletwa SMT na Mzee Kikwete na huo ukweli aliusema siku analihutubia bunge.
Hawezi kuwa na ujasiri wa kumpinga JK na ukizingatia ni mama ndio ushawishi wa awamu ya nne unavyozidi kujikita.
Mwigulu pia ni nguvu ya JK kufika alipofika hivyo hawezi kupindua kwa ushawishi wake.
Mwigulu anafaa uwaziri na hafai kabisa kuwa rais.
PHD yake imechangia bajeti ya jana na rais anaitegemea kuendeshea serikali.Mwigulu hafai kuwa kiongozi wa watu labda msafara wa panya.
Mwigulu Nchemba hajafanya kosa lolote kusema kile alicho ki experience na alicho kishudia. Tatizo lenu kubwa kawakera pale alipo msifia Kikwete na kuacha kumsifia mwendazake? Muacheni Mwigulu afanye kazi bwanaHii tengua tengua ni moja ya jambo ulilosema jana kuwa lilifanywa na late Magufuli kwa pupa kwa maana alitoa kadi hata bila kuona kosa bali kwa kuambiwa. Hukuishia hapo ukamunanga Mh Rais SAMIA kuwa amefundishwa siasa na JK huku ukisahau kuwa AWAMU YA 5 ndiyo iliyomtambulisha mama Kwenye OPEN EYE politics na kumheshimisha zaidi. Kwa ufupi ulichokifanya jana ni uchonganishi na dharau kubwa kwa viongozi wakuu wa nchi. Namalizia kwa kusema JIANDAE your political carrier will be fated to end badly. Mwigulu Nchemba.
Unataka kusema na nyie mnayo ya kwenu pembeni ambaya mtatumia?Ni bajeti funga kazi .
Ccm daima
Chadema watanyooka tu
...
Kinachotakiwa kwenye bajeti:
(1) Mapato yote yaliyopatikana kwa mwaka unaoisha ni kiasi gani
(2) Pengo ni kiasi gani
(3) Kila sekta iliyopangiwa fedha zake mfano:- Wizara ya Afya, Viwanda na Biashara, Halmashauri ya Liwale, OC kwa kila Halmashauri nk zilienda ngapi na kama kuna pengo basi sababu zitolewe.
Bajeti ya Serikali ni budi iwe na mpangilio ili hata Mwananchi wa kawaida aweze kuielewa.
Taasisi zilibadilishwa kuwa miradi binafsi ya Watendaji Wakuu na Bodi zao. Matokeo yake unajua na kila mtu anajua. Hakuna Taasisi hata moja iliyofanya vizuri wakati huoHaya ni maneno ya waziri wa fedha Mwigulu Nchemba katika hotuba yake ya bajeti jana.
View attachment 1815172