Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

Yote tisa kumi ni kuongeza Kodi kwenye petrol. Hawa dawa yao ni katiba, tukutane tarehe 1
 
Hakika MAMBO Yamekuwa MAMBO
[emoji117]Ununuzi wa
Mafuta-TOZO
[emoji117]Barabara Vijijini-TOZO
[emoji117]Kifurushi-TOZO
[emoji117]Kutuma/Kupokea
Pesa-TOZO
KODI[emoji779] KODI[emoji779] KODI[emoji779] kila Mahali.Wapinzani Mkituchelewesha Sana BUNGENI
 
Awamu hii wanyonge watakiona cha mtema kuni. Sisi wengine kitambo tulishazoea kuumizwa kupitia PAYEE, nk.
 
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Nchemba leo Juni 10, 2021 katika Bunge la Tanzania jijini Dodoma saa 10:00 jioni anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022...
Hii bajeti fedha zilishafika kulikoelekezwa?
 
Eti bodaboda na madiwani waneemeka, watanzania kufunga mkanda🤔,
Watanzania ni kina nani na bodaboda,madiwani ni kina nani?
 
Mikopo ya nje yenye masharti ya kibiashara ilifikia shilingi trilioni 1.68 sawa na asilimia 88.1 ya lengo.

Hii itatutesa mwanzo mwisho
 
Bure kabisa hawa. Hatuelewi wanatupeleka wapi kwa kweli…
 
Hakika MAMBO Yamekuwa MAMBO
[emoji117]Ununuzi wa
Mafuta-TOZO
[emoji117]Barabara Vijijini-TOZO
[emoji117]Kifurushi-TOZO
[emoji117]Kutuma/Kupokea
Pesa-TOZO
KODI[emoji779] KODI[emoji779] KODI[emoji779] kila Mahali.Wapinzani Mkituchelewesha Sana BUNGENI
Ukiona hivyo, basi tambua wewe ni mpangaji tu kwenye nchi unayodhani ni yako!
Bure kabisa hawa. Hatuelewi wanatupeleka wapi kwa kweli…
 
Back
Top Bottom