Bajeti ya Serikali mwaka 2025/26 Itakuwa Trilioni 55.03. Sawa na ongezeko la Trilioni 20 Ndani ya miaka 4*1/2 ya Rais Samia.

Kwa makusanyo yapi😂 . Hizi budget ni ujinga jinga tu na uchawa pesa zitakazo toka hazitazidi 30% kama kawaida yao. Na mikataba ya sirisiri
Umesoma mada na viambata au umekurupuka?

Kakojoe kwanza urudi kuchangia
 
Wanaziongeza makusudi ili wazitumbie vizuri ki sheria.
Wacha upumbavu,utakiongeza ambacho hakipo?

Hoja ni Samia kuongeza Trilioni 20 Kwa miaka 4 na nusu sawa na mara 2 ya Bajeti ya Mwendazake kwa miaka 5.
 
Aisee Siku Lucas Mwashambwa akiwa na Nondo Hizi na Kujibu maswali kwa Kujiamini kama Ambayo ChoiceVariable hufanya huenda Lucas atapewa Ukuu wa Wilaya..

Nakumbuka Niliwahi kumchimba Choice kipindi cha Zamani nijue kweli anajua Uchumi..
Alinitoa K.O
😂😂😂😂 Kila mtu ana mambo ambayo ndio interest yake.

Mimi sio mtu wa propaganda Bali facts na namba and so hiyo kazi siiwezi maana Kwa asili napenda ukweli na Haki, kwenye siasa kinachofanya kazi ni propaganda zaidi.

Pia Mimi sio mwana ccm ni shabiki tuu wa SSH na Wala hata hanijui ,ukiona nimeandika mada ya Samia nafanya kwa mapenzi binafsi but I gain nothing at all.
 
Mimi Ni mwanaCCM na sio shabiki Mkubwa sana wa Samia Ila namheshimu Sana na Kumpigania japo si hadharani kwa sababu ni Kiongozi wa Chama na Serikali
 
Waziri wa Fedha Dk.Mwigulu Nchemba amewasilisha rasimu ya Mpango na Muongozo wa maandalizi na mapendekezo ya Bajeti ya serikali Kwa mwaka Mpya wa Fedha yaani 2025/2026.

Waziri Mwigulu amesema Serikali inapanga kutumia zaidi ya Shilingi Trilioni 55 kugharamia Uendeshaji wa Serikali.

Kati ya kiasi hicho Shilingi Trilioni 16 ni pesa za mikopo na misaada.

Trilioni 15 ni Mikopo ya kibiashara na riba nafuu

Shilingi Trilioni 1 ni misaada ya Wahisani

Na Shilingi Trilioni 40 ni Mapato ya ndani kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo Kodi, taasisi na Serikali za Mitaa.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DB3FhlvsFY7/?igsh=MWM2a2JuZDIyODl2dw==

My Take
1.Bajeti hiyo ni sawa na ongezeko la Shilingi Trilioni 20 Ndani ya miaka 4 na nusu ya Rais Samia.

2.Bajeti hiyo ni sawa na ongezeko la Shilingi Trilioni 6 kulinganisha na Bajeti inayoendelea na utekelezaji Sasa.
3.Bajeti hiyo ni karibu mara 2 ya Bajeti ya mwisho ya awamu ya 5 ya mwaka 2020/2021.

Mpaka hapo Samia hana Mpinzani kwenye suala zima la delivery,kukuza Uchumi,kukuza biashara na Ustawi wa Wananchi.

View: https://www.instagram.com/p/DB3WbLEPJ-s/?igsh=MXFrbnI1MWVvbTYwaQ==

Pia soma Miaka 4 ya Rais Samia: Bajeti yaongezeka kwa shilingi Trilioni 13, mapato ya kodi za TRA yaongezeka kwa Trilioni 8

Hahahaa huyu ni Sambaza Shida Hangaisha, halafu Zaa NZI bar yenye wakazi 1,000,000+itakuwa Trillion gapigapi?
 
Bajet kubwa zinakoishia hakujulikan. Awamu ya tano bajet ilikuwa ndogo kuliko ya sasa ila mambo makubwa yalifanyika izi bajet zenu huwa izo pesa zinaishia wapi?
 
Mambo makubwa yapi hayo? Kama hutaki kuona unataka nani akulazimishe? Si ni shida zako
 
Waziri wa Fedha Dk.Mwigulu Nchemba amewasilisha rasimu ya Mpango na Muongozo wa maandalizi na mapendekezo ya Bajeti ya serikali Kwa mwaka Mpya wa Fedha yaani 2025/2026.

Waziri Mwigulu amesema Serikali inapanga kutumia zaidi ya Shilingi Trilioni 55 kugharamia Uendeshaji wa Serikali.

Kati ya kiasi hicho Shilingi Trilioni 16 ni pesa za mikopo na misaada.

Trilioni 15 ni Mikopo ya kibiashara na riba nafuu

Shilingi Trilioni 1 ni misaada ya Wahisani

Na Shilingi Trilioni 40 ni Mapato ya ndani kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo Kodi, taasisi na Serikali za Mitaa.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DB3FhlvsFY7/?igsh=MWM2a2JuZDIyODl2dw==

My Take
1.Bajeti hiyo ni sawa na ongezeko la Shilingi Trilioni 20 Ndani ya miaka 4 na nusu ya Rais Samia.

2.Bajeti hiyo ni sawa na ongezeko la Shilingi Trilioni 6 kulinganisha na Bajeti inayoendelea na utekelezaji Sasa.
3.Bajeti hiyo ni karibu mara 2 ya Bajeti ya mwisho ya awamu ya 5 ya mwaka 2020/2021.

Mpaka hapo Samia hana Mpinzani kwenye suala zima la delivery,kukuza Uchumi,kukuza biashara na Ustawi wa Wananchi.

View: https://www.instagram.com/p/DB3WbLEPJ-s/?igsh=MXFrbnI1MWVvbTYwaQ==

Pia soma Miaka 4 ya Rais Samia: Bajeti yaongezeka kwa shilingi Trilioni 13, mapato ya kodi za TRA yaongezeka kwa Trilioni 8

Hizo ni namba tuu. Ukiza ni ngapi wana peleka kunako husika
 
Back
Top Bottom