Bajeti yako kwa siku ni shilingi ngapi kwa wewe mwenye familia?

Bajeti yako kwa siku ni shilingi ngapi kwa wewe mwenye familia?

Tsh 10,000/= Ila vitu vya msingi vyote viwepo, mchele, unga, maharage makande nyanya vitunguu carrot nk.

Kama una uwezo unachukua nyama 2Kg na samaki wa 20K unaweka kwenye friji unaacha wanajipangia wenyewe kwa bajet, kama unaishi mjini kununua ndizi za kutosha familia ni anasa siku wakipika ndizi wamix na wali siku zisogee.
 
Mimi nashinda hasa vijiweni kwaiyo siku nzima uwa nakula kwa kudanda danda kijiwen, Asubuhi kabisa ya saamoja uji kombe la 500, ifikapo njaa mida ya saatatu ndizi jero, mshkaki jero na Coca-Cola bariid ya 600, apo inakatika 1600, mchana wali 1500 na Coca-Cola bariid 600 inakuwa 2100, next Azam energy bariid 600, jion ya saamoja kikombe kimoja cha Alkasusu 500 kwaiyo apo inakatika kama 5,800 lakin sometimes uwa nabadirisha inafika ad 10k.
 
Mimi nashinda hasa vijiweni kwaiyo siku nzima uwa nakula kwa kudanda danda kijiwen, Asubuhi kabisa ya saamoja uji kombe la 500, ifikapo njaa mida ya saatatu ndizi jero, mshkaki jero na Coca-Cola bariid ya 600, apo inakatika 1600, mchana wali 1500 na Coca-Cola bariid 600 inakuwa 2100, next Azam energy bariid 600, jion ya saamoja kikombe kimoja cha Alkasusu 500 kwaiyo apo inakatika kama 5,800 lakin sometimes uwa nabadirisha inafika ad 10k
Kweli haya ma milo ni Masseto 😂😂
 
Asubuhi chapati mbili na maharage 800

Mchana ugali dagaa 1000 kwa mama nitilie

Jioni maziwa au juice na matunda tunda 1000 au siku nyingine nabadilisha uji wa ulezi au maziwa au supu ya pweza na finyango mbili 1000 hapo kijiweni

Usiku wali nyama au wali samaki 2000

Jumla 4800

Nisipo pita jion kijiweni bajeti inakuwa 3800 kwa siku

Nilipika nyumbani basi ni buku 1000
 
Back
Top Bottom