Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Mkuu sijaoa bado ila sasa huyo niliyekuwa nampa budget ya mwez nadhani alikuwa kwenye hiyo budget anatumia 25% nyingine sijui alikuwa anafanyia nini.Vipi wife alipeleka hela kwenye vicoba🤣🤣🤣🤣🤣
Na mimi formula ni kununua vitu vya msingi kwa jumla kama mchele, ngano, sembe, maharage then mboga ndo inaunuliwa kila week na sometimes vyakula vya kubadili kama ndizi, viazi.
Nilijaribu mwisho nikanyoosha mikono nikaone isiwe tabu ntakuwa mwanaume wa zenj vyakula nanunua mwenyewe utaambulia pesa ya kutumia kwa matumizi yako tu.