Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kweli haya ma milo ni Masseto 😂😂Mimi nashinda hasa vijiweni kwaiyo siku nzima uwa nakula kwa kudanda danda kijiwen, Asubuhi kabisa ya saamoja uji kombe la 500, ifikapo njaa mida ya saatatu ndizi jero, mshkaki jero na Coca-Cola bariid ya 600, apo inakatika 1600, mchana wali 1500 na Coca-Cola bariid 600 inakuwa 2100, next Azam energy bariid 600, jion ya saamoja kikombe kimoja cha Alkasusu 500 kwaiyo apo inakatika kama 5,800 lakin sometimes uwa nabadirisha inafika ad 10k
Kati ya 2m an 1.5m kwa siku. Vyakula vyangu naagiza ulaya au america.