Bakari Nondo Mwamnyeto ana shida gani?

We call them pessimist,they only see the dark side of things
Beki huwa halaumiwi kizembe kwasabab lengo lake kuu ni kuokoa mpira bahat mbaya mpira ukatua kwa adui kapiga bao,Kama ni kunyoosheana vidole aanze kulaumiwa full back aliyeruhusu adui kupiga mpira mpaka mwamnyeto anaokoa mpira usiende kwa kipa ..
 
Katika kitu aliniboa Jana ni kumwacha Aziz acheze dakika zote hizo afu akamtoa zingeli. Huyu kocha sijui karogwa
Bora Aziz aliweza kufanya attempt golini zingeli alikuwa anazurura TU uwanjani ,hii ni CL hakuna space ,Zingeli anazurura TU kwenye mechi ambayo hakuna space.CL ni ya wachezaji kama pacome wanafanya matukio kwenye space ndogo ,AZIZ na ZINGELI wataendelea kuteseka sana sahau habari za VPL
 
Sawa

Hizi mechi sita za makundi mpaka ziishe Yanga na kila mchezaji atakuwa amejifunza mambo mengi
 
Nchi hii..[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mwamnyeto ameendelea alipoishia tu. Kiwango chake ndo kimefikia pale.
 
Kiwango Cha bakari kinatia shaka, Mechi ya Leo ata Diara hakua akimwamini.
Inatakiwa achezeshwe mfululizo ili kujiamini kuweze kurudi.
 
Kiwango Cha bakari kinatia shaka, Mechi ya Leo ata Diara hakua akimwamini.
Inatakiwa achezeshwe mfululizo ili kujiamini kuweze kurudi.
Sio Diarra tu, hata CB's wenzake. Unaona kabisa Job anabeba majukumu ya CB's wawili mpaka anaelemewa. Kocha arudishe tu fullbacks nyuma, back 3 haimsaidii.
 
Kuna siku mtakuja kunikumbuka. Bakari ana shida kubwa sana ambayo inahitaji ufumbuzi. Makosa ni mengi sana na hayahesabiki.
 
Uliona mbali sana mwanangu.
 
Ana hofu, hajiamini kama awali. ila akitulia ni mchezaji mzuri tu.
 
Shida yake ipo pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…