Bakari Nondo Mwamnyeto ana shida gani?

Bakari Nondo Mwamnyeto ana shida gani?

Acheni kumsingizia na kumpa Lawama beki bora mzawa wa kizazi hiki Bakari Nondo Mwamnyeto
Mlikufa 3 bila Algeria mwamnyeto akiwa benchi lawama mkazipeleka kwa kipa ila kwa mlivyo ile siku angekuwepo Mwamnyeto huenda lawama zote angezioga yeye maana ni wazi ana nyota ya bundi kwenu wana uto hamuoni mazuri yake yaani mechi nzima unamzungumzia kwa tutukio moja tena alilokosea mbn mazuri yake husemi kwenye hiyo mechi?
We call them pessimist,they only see the dark side of things
Beki huwa halaumiwi kizembe kwasabab lengo lake kuu ni kuokoa mpira bahat mbaya mpira ukatua kwa adui kapiga bao,Kama ni kunyoosheana vidole aanze kulaumiwa full back aliyeruhusu adui kupiga mpira mpaka mwamnyeto anaokoa mpira usiende kwa kipa ..
 
Katika kitu aliniboa Jana ni kumwacha Aziz acheze dakika zote hizo afu akamtoa zingeli. Huyu kocha sijui karogwa
Bora Aziz aliweza kufanya attempt golini zingeli alikuwa anazurura TU uwanjani ,hii ni CL hakuna space ,Zingeli anazurura TU kwenye mechi ambayo hakuna space.CL ni ya wachezaji kama pacome wanafanya matukio kwenye space ndogo ,AZIZ na ZINGELI wataendelea kuteseka sana sahau habari za VPL
 
Bora Aziz aliweza kufanya attempt golini zingeli alikuwa anazurura TU uwanjani ,hii ni CL hakuna space ,Zingeli anazurura TU kwenye mechi ambayo hakuna space.CL ni ya wachezaji kama pacome wanafanya matukio kwenye space ndogo ,AZIZ na ZINGELI wataendelea kuteseka sana sahau habari za VPL
Sawa

Hizi mechi sita za makundi mpaka ziishe Yanga na kila mchezaji atakuwa amejifunza mambo mengi
 
Bakari alikosa utulivu, kipa ameshasema mwachie mpira tena kwenye marudio ya television.
Kipa anaonekana akitoa sauti ya kuachiwa mpira yeye kaucheza kwa kichwa na mpira haukufika popote Ina maana alikua na presha.
Yote kwa yote Gamond ndiye aliyefanya mechi kuwa Ngumu kipindi Cha pili.
Amechukua muda mrefu kufanya Sabu na Bado ame mwacha Mudathir nje bila Sabu yoyote ya maana.
Hivi unamwachaje Mudathir nje una mwingiza Zawadi ambaye ata kwenye ligi humtumii marakwamara.
Aziz alikua hastaili kuendelea kuwa uwanjani na Bado ana maliza mechi!!

Kocha ametuangusha Sana.
Nchi hii..[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mwamnyeto ameendelea alipoishia tu. Kiwango chake ndo kimefikia pale.
 
Kiwango Cha bakari kinatia shaka, Mechi ya Leo ata Diara hakua akimwamini.
Inatakiwa achezeshwe mfululizo ili kujiamini kuweze kurudi.
 
Kiwango Cha bakari kinatia shaka, Mechi ya Leo ata Diara hakua akimwamini.
Inatakiwa achezeshwe mfululizo ili kujiamini kuweze kurudi.
Sio Diarra tu, hata CB's wenzake. Unaona kabisa Job anabeba majukumu ya CB's wawili mpaka anaelemewa. Kocha arudishe tu fullbacks nyuma, back 3 haimsaidii.
 
Kuna siku mtakuja kunikumbuka. Bakari ana shida kubwa sana ambayo inahitaji ufumbuzi. Makosa ni mengi sana na hayahesabiki.
 
Kama Mudathir hakuwa fit asinge kua kwenye bench.
Kocha ua anakosea kama wanavyo kosea wachezji.
Mudathir sio mchezaji wa kujaribu ila kwa hakika ata ku offer kitu uwanjani Tena vingi.

Offensive atakupa, Defensive atakupa, Battling ndio nyumbani, composure ipo Sasa kocha unahitaji Nini!!
Uliona mbali sana mwanangu.
 
Nisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.

Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa.

Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake.

Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?
Ana hofu, hajiamini kama awali. ila akitulia ni mchezaji mzuri tu.
 
Ndugu mbumbumbu, mpira ni mchezo wa wazi , ukicheza vizuri utasifiwa na ukiharibu uta ambiwa pia. Bakari ni mchezaji wa Yanga na Captain wa timu, Leo hakuwa na mechi mzuri.

Ukiachana na ilo la mawasiliano na kipa, Kuna mpira aliucheza na aka anguka na hakujua ulipo jamaa wa Ahly aliupitia na kutoa pasi iliyo mkuta mchezaji wa Ahly akiwa yeye na Diara bahati kipa akafanya save ya kibabe ikawa Kona.

Kwenye mipira ya Kona yeye ndiye mrefu kwenye ukuta wa Yanga, lakini katika mipira zaidi ya sita amefanikiwa kucheza mmoja.
Anahitajika kurudisha kujiamini haraka Sana kwakua soka analijua.
Shida yake ipo pale pale
 
Back
Top Bottom