Kuli Msomi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 266
- 625
Hakika gamondi hatotufikisha popte pale hana mbinu za kivita hakika hawezi kutufikisha hatua nzuri ata tumpe miaka mitano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thread closed.✍️Mwamnyeto asingeupiga ule mpira mechi ingeisha 0-0
Siyo mbaya hata 1-1 imetuboost
Kosa lake limefutwa na pacome
On to the next one
Shida ya Yanga kwa sasa ni kukosa tu finisher wa uhakika. Hafiz Konkoni amefeli, Mzize bado anahitaji muda, Musonda tangu hapo alikuwa ni backup wa mshambuliaji namba 1 wa timu.Hakika gamondi hatotufikisha popte pale hana mbinu za kivita hakika hawezi kutufikisha hatua nzuri ata tumpe miaka mitano
Shida ya Yanga kwa sasa ni kukosa tu finisher wa uhakika. Hafiz Konkoni amefeli, Mzize bado anahitaji muda, Musonda tangu hapo alikuwa ni backup wa mshambuliaji namba 1 wa timu.
Nje ya hapo, Yanga iko vizuri karibia kila idara! Ukiondoa hiyo idara moja tu ya ushambuliaji.
Moloko ni majeruhi alikuwepo jukwaani...kama vipi gamondi afukuzwe tukupe wewe ukocha au unasemaje?Me nachokiona kwa kocha kosa lake ni kukosa alternative game plan kwa almost kila mechi. Tunatumia viungo kupita na mpira katikati mwa dimba, tukishindwa kufanya hivyo, tunakosa alternative kabisa. Wingers wanaozea bench tu Yanga. Mechi kama hizi kina Moloko wale sometimes wanakiwasha sana. Kocha awe na alternative, anafanya hizi mechi zinakuwa ngumu sana.
Gamondi na Nabi si Bora gamondi. Yanga tupatechezaji kama kibu au phiri. Pale mbeleGamondi tuachie team yetu
Mengine yote umejibu vyema kasoro Mauya kakosea nini?Kama Mudathir hakuwa fit asinge kua kwenye bench.
Kocha ua anakosea kama wanavyo kosea wachezji.
Mudathir sio mchezaji wa kujaribu ila kwa hakika ata ku offer kitu uwanjani Tena vingi.
Offensive atakupa, Defensive atakupa, Battling ndio nyumbani, composure ipo Sasa kocha unahitaji Nini!!
Nisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.
Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa.
Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake.
Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?
Kimataifa Kocha Gamond bado anaitafuta.Bakari alikosa utulivu, kipa ameshasema mwachie mpira tena kwenye marudio ya television.
Kipa anaonekana akitoa sauti ya kuachiwa mpira yeye kaucheza kwa kichwa na mpira haukufika popote Ina maana alikua na presha.
Yote kwa yote Gamond ndiye aliyefanya mechi kuwa Ngumu kipindi Cha pili.
Amechukua muda mrefu kufanya Sabu na Bado ame mwacha Mudathir nje bila Sabu yoyote ya maana.
Hivi unamwachaje Mudathir nje una mwingiza Zawadi ambaye ata kwenye ligi humtumii marakwamara.
Aziz alikua hastaili kuendelea kuwa uwanjani na Bado ana maliza mechi!!
Kocha ametuangusha Sana.
Tunaacha kuangalia tulipojikwaa ,tunalaumu tunapoangukiaAngekuwa anakosea mara moja moja hapo sawa, kila mechi almost lazima atucost kisa anataka aonyeshe uwezo wake binafsi. Pale Diarra kapiga kelele kabla hajaruka lakini Bakari hakutaka kumskia, mwisho wake ndo ule sasa, tunafungwa goal la kizembe sana.
Daktari akimuongezea maji mgonjwa bila kujua mgonjwa ana Sukari akafa hatukatai juhudi za Daktari. Goli alilofungwa Yanga ni makosa ya Wachezaji si uzembe wa Wachezaji.Nisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.
Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa.
Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake.
Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?
Tuheshimu Mpira ni mchezo wa makosa na wakati mwingine makosa yapo. Mbona alicheza vizuri tu. Vipi kuhusu mabeki watano wa Al Ahly tuseme ni wabovu wote manake Pacome kafunga goli katikati Yao. Mwanyeto ndio anaonekana mbaya, kweli huyu jamaa ana Damu ya kunguni.Nisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.
Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa.
Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake.
Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?
Haya kakuachia nenda kaichukueGamondi tuachie team yetu
Tulia wewe sare sare maua. Tunazungumza ya chumbani mwakarobo hayawahusu.Mmeanza lawama zisizo na msingi. Mlitaka msifungwe? Kwani umeambiwa wale Ahly ni Kagera sugar? Hakuna cha sijui nani hajacheza, matokeo yoyote ni sehemu ya mchezo.
Ukiokoa ukiwa karibu na lango unaokolea pembeni siyo katikati,angle inakua Pana Kama vile mtu anaelekeza tu langoniNadhani ni harakati za kuokoa hayo yanatokea ,hawaongei yeye na kipa halafu ile shambulizi ya piga nikupige unadhani kuna mda hata wa kuwasiliana,mfano kipa angeutema au ukaingia nyavuni wachambuzi watasema kasimama na alikuwa kwenye nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna namba sita mwenye asili ya ukabaji. Kuna wacheza rafu tu pale katiShida ya Yanga kwa sasa ni kukosa tu finisher wa uhakika. Hafiz Konkoni amefeli, Mzize bado anahitaji muda, Musonda tangu hapo alikuwa ni backup wa mshambuliaji namba 1 wa timu.
Nje ya hapo, Yanga iko vizuri karibia kila idara! Ukiondoa hiyo idara moja tu ya ushambuliaji.
Mkimpata Phiri hata nusu fainali mnafika. Naomba litokee hili. Yule mzambia ana balaa zito!Gamondi na Nabi si Bora gamondi. Yanga tupatechezaji kama kibu au phiri. Pale mbele
Mzize umemsingiziaTunaacha kuangalia tulipojikwaa ,tunalaumu tunapoangukia
Ile siku tumebondwa na Belouzdad huyu mwamnyeto alichomesha Goli ngapi
Jana kule mbele palikufa muda mrefu, mipira ilikua haikai
Tukienda kushambulia uwiano na wachezaji wa ahly ulikua unakua 1:3 , unaweza kuangalia Goli alilofunga pacome jinsi wachezaji wa ahly walivyokua wengi
Kocha ameng'ang'ania wachezaji wale wale mwanzo mwisho, Mzize, Aziz K, Maxi ,wote walipoteana Jana
Kwa Hali ya kawaida katika mpira usiposhambulia utashambuliwa ww, ndicho kilichotokea
Mabeki wamepambana Sana kuokoa, Kadri muda ulivyokua unaenda kufungwa kulikua kunaonekana obvious
Ila tabia yetu ya kutafuta wa kumvika lawama