Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mjukuuKupitia ukurasa wake wa Twitter mjukuu wa Bakhresa ametupia gari mpya aina ya Porsche aliyopatiwa na babu yake kama zawadi ya birthday.
Haya yametokea wakati kuna mabilionea wamesuasua kujinunulia kagari kama haka kwa bethidei kisa mapenzi ya timu ya mpira.View attachment 1900268View attachment 1900269
Ninakumbuka birthday yangu moja tulipika wali ná kabichi hii ilikua chakula special na zawadi ya birthday girl.
Kuna tofauti kubwa kati ya tajiri na msimamizi wa mali za familia
Anaishi bongo, anasoma IST.Mkuu una uhakika?huyu dogo anaishi mbele hawez kula coca ya Sinza
Siitaji kuaminika.Tutakuaminije?
Sijawai tumia hayo madude mimi hata mmea situmii. Nilishajaribu kusukuma lakini nilikuwa nikikutana na teja usiku sipati usingizi nikaacha hizo mishe na nilienda kufanya toba kabisa.Mateja wanajuana sema kuna moja ataenda rehab clinic uswiss mwingine mwananyamala
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Umekomalia mafisadi mafisadi, miaka ya 80 bakhresa alikua anauza keki na ice cream za koni. Sasa hao mafisadi wako mbona wajukuu wao hawana maferari na ma Lamborghini?Wawashukuru wanasiasa mafisadi waliowekeza kwake miaka ya 80 na kuendelea
Huoni kua unamchafua mtu hapa bila ushahidi? au ID fake ndio inakupa kiburi? kua makini sana kuchafua image za watu bila ushahidi.Siitaji kuaminika.
Birthday party ni kwaajili ya watu mashughuli na wenye pesa zao, wewe mlala hoi muda wote upo JF unataka birthday party ya nini?Wengine hata birthday hatujawahi fanyiwa
Dogo ni mteja sina haja ya kumchafua, hata baba yake Yusuf anafahamu.Huoni kua unamchafua mtu hapa bila ushahidi? au ID fake ndio inakupa kiburi? kua makini sana kuchafua image za watu bila ushahidi.
Umekomalia mafisadi mafisadi, miaka ya 80 bakhresa alikua anauza keki na ice cream za koni. Sasa hao mafisadi wako mbona wajukuu wao hawana maferari na ma Lamborghini?
Azam Media au Azam TV ina Chennai ngapi na vitengo vingapi? Imeajiri wa TZ wangapi?
Kabla sijauliza makorokoro mengine...!!
Tukubali mtoaji ni Mungu..mruzuku ni Mungu..mkarimu ni Mungu nknknk nk