Bakhresa muogope Mungu wako. Uwiano wa hasara ni mkubwa kuliko faida

Wewe mjane mbona unatokwa povu kama vile umetafunwa kisha ukadhulumiwa malipo yako?

Jitulize ili uje upate posa nyingine,kukata viuno hapa utapoteza hata waliokua na nia ya kuja kukuchumbia.
 
Duh!...
 
Umeongea jambo sahihi katika eneo lisilo sahihi.

Maambo kama haya ya kiimani kuyaleta JF kwa watu wenye imani tofauti basi tegemea kuharibu na sio kujenga.

Hapa utafanya watu watukane dini ya uislamu na wafuasi wake


Mambo kama haya peleka kwenye website au magroup ya dini ya kiislamu
 
Pale uwanja wa Mpira wa Azam Kuna msikiti na maji yapo kibao kama wewe Muislam ukienda pale kuangalia Mpira hauna sababu ya kukosa kufanya ibada

Tamthilia za kituruki Zina maudhui ya kidini Mimi binafsi nimekifunza historia nyingi za kidini Kwa hizi tamthilia

Hi tamthilia ya Sasa Kuna Mtawala wa kirumi anaitwa Gregory ndio aliyetabiriwa na Yesu pamoja na Daniel kuwa atabadili majira angalia utajifunza mengi

Kuhusu Mpira Azam hawajahi kuonyesha michezo inayodhaminiwa na pombe Wala Kamali ndio maana hawajawshi kuonyesha michuono ya Taska wa sports pesa

Mwisho Azam wasipokuwa na kisimbusi watu watatumia visimbusi vya makafiri vipo vingi labda ndilo unalotaka
 
Tutajie wewe mema yako na mabaya tulinganishe
 
Huyo Jamaa yuko Brainwashed sana na hayo mavitabu ya Karne ya Saba.

Mpaka haelewi kipi ni fact na kipi ni fiction.
mkuu unaamini kuna matajiri wasafi, kwa scale ya watu kama bakhresa na dewji?

mbona naonaga kama wewe ni mtu wa kuhoji...

mleta mada ana uwasilishaji mbovu sema hoja anayo sana tu

kuna mifumo mibovu wanaitumia kujikisanyia mali wasizohitaji

ningekuwa kwenye nafasi yao nisingelalamika ila ukweli unabaki mambo yao yana utata

na huku africa bado tuna ushamba wa kuabudu matajiri tupo tofauti na wenzetu wa ughaibuni, kina bakhresa watakuwa wanakula bata sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…