Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Ukisikia roho ya korosho ndio hii, mtu atafute hela wewe uje kumuelekeza matumizi.
Tafuta hela umasikini ni laana
Tafuta hela umasikini ni laana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mjinga kinyama. Anamfunda Bakhresa.Hahaha.....jama ana hasira balaa
Wewe mjane mbona unatokwa povu kama vile umetafunwa kisha ukadhulumiwa malipo yako?Unajua Muddy nayeye alikuwa anafanya mambo ya haramu mengi sana sema tuu alikuwa anamsingizia mungu wake wa kutunga "Allah" kwamba amemruhusu kufanya hayo mambo
-Kumuoa mkwe wake(zaynab)
-Kufanya mapenzi na female captives(Saffiyah)
-Kuoa wanawake wengi, idadi mara nne ya wanawake aliyowaruhusu wenzake kuoa
-kukataa kwamba wake zake wasiolewe yeye akifa, wakati yeye alikuwa anaoa wake wa wenzake wakifa
-kufanya mapenzi na wanyama
-kuua waandika mashairi waliokuwa wakimkosoa(Asma Bint Marwan)
Na mengineyo mengi....
My your business.
Mwache mzee wa watu atafute riziki.
Huyo mungu anaye kuongoza kuchukia binadamu wenzako sio mungu, hakuna mungu wa namna hio, "allah the moon good" ni mmoja kati ya miungu hewa 360 iliyokuwepo pale Mecca kipindi cha muddy.
We ushawahi hata kununua tofali la msikiti?
Duh!...Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Umeongea jambo sahihi katika eneo lisilo sahihi.Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Hawa unakuta hata ilimu dunia hawanaMpaka na kunukuu msahafu [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Je kuna logic katk aliyoongea? Mimi sio Mwislam lakini pointi alizoongea Huyu Jamaa zinakubalika ktk imani ya Kiislam. Labda hazikubaliki kwa kuwa yeye ni maskini anayemshauri TajiriNi mjinga kinyama. Anamfunda Bakhresa.
Pale uwanja wa Mpira wa Azam Kuna msikiti na maji yapo kibao kama wewe Muislam ukienda pale kuangalia Mpira hauna sababu ya kukosa kufanya ibadaKatika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Tutajie wewe mema yako na mabaya tulinganisheKatika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Yuko wapi huyo anaeninyonya.....Kama Evelyn Salt ananyonywa sana🤭🤭
WAtanzania wanafuatilia maisha ya watu kuliko ya kwaoOnly in Tanzania, masikini anamshauri tajiri
Haya waonye na watoto wako humu humu jukwaaniNimemuonya Bakhresa na wanawe
Eti na yeye mtoa mada ameamini kweli kwamba Bakhresa alikuwa mshona viatu😃😃😃😃😃😃Huu ni moja kati ya uongo mkubwa wa kipumbavu kuwahi kuzungumzwa duniani.
mkuu unaamini kuna matajiri wasafi, kwa scale ya watu kama bakhresa na dewji?Huyo Jamaa yuko Brainwashed sana na hayo mavitabu ya Karne ya Saba.
Mpaka haelewi kipi ni fact na kipi ni fiction.