Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
BARAZA la Kiswahili Taifa (BAKITA) limeonya matumizi ya maneno “Famchezo nini, Famasihara nini, na Fautani nini” yanayotumiwa na watu katika majukwaa mitandaoni likisisitiza kuwa maneno hayo sio fasaha wala sanifu...
Ukisikia umangimeza wa lugha ndo huu.BARAZA la Kiswahili Taifa (BAKITA) limeonya matumizi ya maneno “Famchezo nini, Famasihara nini, na Fautani nini” yanayotumiwa na watu katika majukwaa mitandaoni likisisitiza kuwa maneno hayo sio fasaha wala sanifu...
NWAPONGEZA BAKITA KWA HILI KUBWA WALILOFANYA HII YOTE INALETWA NA HAWA WAZARAMO WA HAPA MJINI AMBAO WENGI WAO HAWAJAKWENDA SHULE NDIO WANAYOLETA HAYA MAUJINGA KUMBE HAWAJUI WANAHARIBU LUGHA YETU MAMA NA ADHIMU YA KISWAHILI NA NDIO MAANA HUWEZI KUWAKUTA HAPO BAKITA KIKAZI NA NDUGU ZANGU WAKURYA NA WASUKUMA WAO WAENDE JESHINI NA WAZARAMO WABAKIE NA VIGOMA VYAO FOOLISHBARAZA la Kiswahili Taifa (BAKITA) limeonya matumizi ya maneno “Famchezo nini, Famasihara nini, na Fautani nini” yanayotumiwa na watu katika majukwaa mitandaoni likisisitiza kuwa maneno hayo sio fasaha wala sanifu.
Limeshauri watumiaji wa Kiswahili kutumia maneno “Unafanya mchezo nini, Unafanya masihara nini na Unafanya utani nini” ambayo ni fasaha na sanifu ikiwa ni sehemu ya kujivunia kiswahili ambacho ni tunu ya Taifa.