Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BARAZA la Kiswahili Taifa (BAKITA) limeonya matumizi ya maneno “Famchezo nini, Famasihara nini, na Fautani nini” yanayotumiwa na watu katika majukwaa mitandaoni likisisitiza kuwa maneno hayo sio fasaha wala sanifu.
Duh,haahahaHawana kazi hao Bakita.
Kiswahili kilijuzikia tu leo BAKITA wanajifanya wao ndio kiswahili.BARAZA la Kiswahili Taifa (BAKITA) limeonya matumizi ya maneno “Famchezo nini, Famasihara nini, na Fautani nini” yanayotumiwa na watu katika majukwaa mitandaoni likisisitiza kuwa maneno hayo sio fasaha wala sanifu.
Limeshauri watumiaji wa Kiswahili kutumia maneno “Unafanya mchezo nini, Unafanya masihara nini na Unafanya utani nini” ambayo ni fasaha na sanifu ikiwa ni sehemu ya kujivunia kiswahili ambacho ni tunu ya Taifa.
======
BAKITA yakanusha kutoa onyo la matumizi ya maneno hayo
Zaidi Tembelea jukwaa la Jamii check UZUSHI - BAKITA waonya kuhusu maneno Famasiala, Fautani
Ndiyo kazi yaoWamekosa kazi
Habari za Maalim Abubakari Mbowe hujapata leo?Baraza la Kiswahili nchini Tanzania (BAKITA) limepiga marufuku matumizi ya maneno mapya yaliyozuka hivi karibuni yanayotumiwa na Wasela wengi wa mjini na baadhi ya Watangazaji wa redio ya "FAMCHEZO na FAMASIHARA" badala FANYA MCHEZO na FANYA MASIHARA , Kutumika popote nchini Tanzania .
Marufuku hiyo inaanza mara moja , japo haijafahamika wale watakaokaidi watachukuliwa hatua zipi .
🤣🤣🤣🤣🙌Famchezo nini
Fautani nini na bakitaFamchezo nini
Baraza la Kiswahili nchini Tanzania (BAKITA) limepiga marufuku matumizi ya maneno mapya yaliyozuka hivi karibuni yanayotumiwa na Wasela wengi wa mjini na baadhi ya Watangazaji wa redio ya "FAMCHEZO na FAMASIHARA" badala FANYA MCHEZO na FANYA MASIHARA , Kutumika popote nchini Tanzania .
Marufuku hiyo inaanza mara moja , japo haijafahamika wale watakaokaidi watachukuliwa hatua zipi .
zinakuja muda mfupi ujaoHabari za Maalim Abubakari Mbowe hujapata leo?