BAKITA yaonya kuhusu maneno kama Famasiala na Fautani

BAKITA yaonya kuhusu maneno kama Famasiala na Fautani

Kwanza kiswahilii sio lugha

Kwa kuwa hakuna kabila la kiswahili,
Sijui nimeeleweka????
Au niongeze sautiii
 
Hawana kazi hao Bakita.
Ni wapuuzi wameokotana wapumbavu wasio na akili wameketi kwenye baraza wanataka kile wanacho penda wao ndiyo kiwe na udini umejaa sana kwenye kukuza lugha
 
NWAPONGEZA BAKITA KWA HILI KUBWA WALILOFANYA HII YOTE INALETWA NA HAWA WAZARAMO WA HAPA MJINI AMBAO WENGI WAO HAWAJAKWENDA SHULE NDIO WANAYOLETA HAYA MAUJINGA KUMBE HAWAJUI WANAHARIBU LUGHA YETU MAMA NA ADHIMU YA KISWAHILI NA NDIO MAANA HUWEZI KUWAKUTA HAPO BAKITA KIKAZI NA NDUGU ZANGU WAKURYA NA WASUKUMA WAO WAENDE JESHINI NA WAZARAMO WABAKIE NA VIGOMA VYAO FOOLISH
Mkuu rudi shule ukosome tena lugha ya kiswahili
 
IMG_7261.jpg
 
BARAZA la Kiswahili Taifa (BAKITA) limeonya matumizi ya maneno “Famchezo nini, Famasihara nini, na Fautani nini” yanayotumiwa na watu katika majukwaa mitandaoni likisisitiza kuwa maneno hayo sio fasaha wala sanifu.

Limeshauri watumiaji wa Kiswahili kutumia maneno “Unafanya mchezo nini, Unafanya masihara nini na Unafanya utani nini” ambayo ni fasaha na sanifu ikiwa ni sehemu ya kujivunia kiswahili ambacho ni tunu ya Taifa.



======

BAKITA yakanusha kutoa onyo la matumizi ya maneno hayo

Zaidi Tembelea jukwaa la Jamii check UZUSHI - BAKITA waonya kuhusu maneno Famasiala, Fautani
Sijui itawashikia wapi watu wenye kawaida ya kuongea hivyo mitaani!
 
Back
Top Bottom