RASHIDI OMARY
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 524
- 498
Waache ujinga hayo n maneno ya mtaani tu mbona yapo mengi TU? Watayazuia yote? Na kwa Sheria ipi? Fanyeni kaziBaraza la Kiswahili nchini Tanzania (BAKITA) limepiga marufuku matumizi ya maneno mapya yaliyozuka hivi karibuni yanayotumiwa na Wasela wengi wa mjini na baadhi ya Watangazaji wa redio ya "FAMCHEZO na FAMASIHARA" badala FANYA MCHEZO na FANYA MASIHARA , Kutumika popote nchini Tanzania .
Marufuku hiyo inaanza mara moja , japo haijafahamika wale watakaokaidi watachukuliwa hatua zipi .