BAKITA yaonya kuhusu maneno kama Famasiala na Fautani

BAKITA sijui wana shida gani huko, kuna maneno ya msimu ambayo huwa hayaepukiki kwenye marika mbalimbali...
Badala ya kuhangaika na haya kwanini wasingehangaika na mashairi yaliyojaa matusi kwenye nyimbo za bongo fleva?
 
Maneno mengi sio sahihi kwa mfano unamsikia mtu anasema "nafurahigi" hili neno sio sahihi, neno sahihi huwa nina furaha au nina furahia.
 
BAKITA sijui wana shida gani huko, kuna maneno ya msimu ambayo huwa hayaepukiki kwenye marika mbalimbali...
Badala ya kuhangaika na haya kwanini wasingehangaika na mashairi yaliyojaa matusi kwenye nyimbo za bongo fleva?
Acha ushamba, kuwa updated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…