BAKWATA iingilie kati uvaaji wa wanawake wakiwa JKT

Kwan Nchi yetu ina utaratib kama wa Afghanistan? Kama sivyo bas wavumilie hakuna namna!!
 
Jeshi halina dini mkuu, watakuja wale wanaovaa sketi za marinda nao watataka sketi za marinda washonewe kurutu, mashahidi nao watataka kurutu wavae tai. Yakianza kuingia mambo ya dini jeshini tutagawana fito kabla hata jua halijazama.
 
Kwani zile yunifomu za Covid 19 ziliisha si wapewe hizo au washonewe zile za wanaanga wanaoenda anga za juu
 
unaongelea huu uislam ulioanza miaka 1500 iliyopita?
 
3.3.1965 pia 3.3.1977 wimbo wa vijana shupavu la Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar wakielezea kilimo, kazi za amali, mifugo pia somo la uraia, uzalendo na kujenga taifa

 
Nachelea kusema huna akili
 

Mazoezi ya kuuweka mwili sawa na kuimarisha afya. Miili legelege ni hatari kwa usalama na ulinzi wa taifa lolote. Vijana waoga wanaowaza kutengeneza matabaka ya kiimani na chokochoko hawawezi kuhakikisha uwepo wa taifa moja imara endelevu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…