Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tena hata mawazo ya ngono huwezi kuwa nayo kwa zile hekahekaMkuu jeshini ubaeza kulazwa na dem shuka moja na isisimame kwa shuruba wanazopewa. So hakuna kutamani dem kule. Kwanza mnaoga matope nna vumbi za kutosha, dem unamwona sawa na mshkaji tu
Kuhushiria?Kwa taarifa nilizonazo ni kuwa ni wajibu kuhushiria.
Vp kuusu utalabuHoja yako ina mantiki kubwa mkuu lakini tujiulize je serikali yetu ni ya kislamu au inaegemea kwenye upande wowote wa dini? kama haiegemegei kwenye dini yoyote basi .ya serikari tuiachie serikari ya Mungu tumwachie Mungu
USITULETEE UISLAM WENU KWENYE MAMBO YA SERIKALI NA NCHI AMBAYO YANA DINI NYINGINEKatika dini ya kiislamu wanawake hawaruhusiwi kunyoa nywele pia ni wajibu kwao kusitiri mwili mzima. Ukihitaji ushahidi unaeza patiwa sio ujinga kuzungumzia suala hili bali kuna group linaathirika kimyakiya
Eti JKT tuu! Je wakiwa majumbani au mtaani ! Fala wewe acha ujinga wako wa kuweka maswala yako ya kipuuzi pimbi wewe!Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Jombaaaa Serikali haina Dini so tulia fuata utaratibuNimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Mzee, Serengeti wanatafunwa na karanga zaidi ya bazooka.
Kazi ya jeshi ni mapambano,taifa halina diniNimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Ukimaliza hili wambie Bakwata swala tano vipi jeshini mbona haifanyiki kwa mujibu wa dini. Ukimaliza waambie na wasabato mbona siku ya jumamosi kuruta anapiga fatiki kama kawaida?????Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Ni Jeshini au uraiani?Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Mkuu, huyo ndio mtoa sera kwa Serikali za kuendesha Nchi, na hata chenyewe kina kubaliana na Mpango huoMtoa mada hivi kweli Bandari yetu inaporwa na waarabu kupitia ccm?
Kuna wakristo ambao huwa wananishangaza sana, yani mtoto wako au dada yako yupo kwenye hali hiyo halafu mzazi kama mzazi anashabikia na kuunga mkono huo ujinga, aise mna kaziAcha udini
Hawa watu wanataka kuficha silaha hakuna kingineHayo ni mafunzo, wananyolewa kwa sababu ya usafi wao. Elewa mafunzo ya JKT sio ya kukaa darasani masaa yote, hijabu la nini kwenye mafunzo ambayo unachafuka muda mwingi?
Just imagineKwamba wavae kobazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]