BAKWATA iingilie kati uvaaji wa wanawake wakiwa JKT

Post ya msingi sana hii.
 
Kwani waarabu hawana wanajeshi wanawake? Kama wapo basi mama aiuze JKT kwa waarabu ili waje waboreshe mavazi ya watoto wa kike jeshini.
Haaaaa,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ni best comment [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Serikali haina dini.

Hata mwinyi alichokileta kwenye sare za Shule kina maswali?!

Muhimu ziwe nguo zenye staha na stara kwa mujibu wa desturi na mila zetu.
 
Sidhani kama Bakwata Iko kwa maslahi ya waislam. Ile siku walipingana kutangaza Eid na Dunia nzima walinitoka kabisa. Ni wahuni sana mambo kama haya ya kutetea waislam huwezi kuwasikia, ila msaada wa kupokea PESA na Tende za waarabu kama DP World utawaona!

Solution mabinti wa kiislam wasiende JKT basi. Au kama ni kufunika kombe wakakae tu nusu uchi huko ili maisha mengine yaendelee!
 
 
Kuungaje mkono?

Binti kuvaa kimini, dada kuvaa kimini/nusu uchi au kutembea na minywele wazi kadamnasi, wavulana na wasichana kusoma darasa moja, na hilo la JKT n.k n.k. sasa ukisapoti huu ujinga, mtoto atajifunza nini kutoka kwa wazazi!!!

Aleyommba gekke, bhujiku ng'waka nkoi
 
Utakuwa ujinga kama wa kuswali masjid haram kwamchanganyiko wa wanawake na wanaume pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…