BAKWATA iingilie kati uvaaji wa wanawake wakiwa JKT

Kipofu ni wewe unaedhani dini huvaliwa na kuvuliwa ili kujiridhisha au kuridhisha wengine! lazima utambue misingi ya dini nyengine kabla huja-assume misingi ya dini yako ndo hiyo hiyo pia ya dini nyengine. Uislamu ni mfumo wa maisha i.e. imani na vitendo, pengine dini yako ni imani peke yake basi usidhani dini zooote duniani zinapaswa kuwa ni imani tu peke yake tu.
 
Jeshi halina dini, ni kichura kwa kwenda mbele.
 
Tukaja na muswada wa Mahakama ya kadhi, WEEE ilileta shida ile mpaka tukajilaumu. Yaani jambo dogo TU wagalatia walipaniki kweli.
Mnatamani Tanzania iwe nchi ya Kiislamu? Mlifaulu Hijabu mashuleni Sasa mmenogewa?
 
Kwani lazima kwenda Jeshi?
 
Kama mnataka kuishi kwa kufuata misingi ya dini yenu nendeni mkaishi Afghanistan kwa talban, tofauti na hapo mtafuta taratibu zilizopo mnataka au hamtaki
 

Tumeamua kufata serikali isiyo na dini. Haya ndio madhara yake kwa waislam.

Kuondoa fitna hii tutafute au kuanzisha chama kitachounda serikali za dini zote. Lengo si kuanzisha serikali za kidini laa, Lengo ni kulinda tamaduni, ibada za dini zote.

Binti wa kike kuvaa uniform sawa na imani ya dini ni kumpa haki yake ya kuabudu. Lkn kwa tz halindwi bali hudhibitiwa.

Bahati mbaya jambo hili nitapingwa hata na chama MBADALA chadema.

Lkn ktk nchi zinazolinda dini zote; wasichana wako huru kujisitiri
 

Attachments

  • Screenshot_20220220-204454_1645379131488.jpg
    89.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220114-215050.jpg
    83.7 KB · Views: 1
We nae acha kusumbua Bakwata kwa upuuzi umekaa umeshiba maharage yako umekaa gas unakuja kupost ujinga,kama mavazi hayaendani mtu na Dini kwani lazima kwenda kwenye jambo ambalo sio la muhimu linaharibu imani yako???!!hivi utafanyaje mazoezi na Jilbab guo pana???!
 
Pumba kabisa

Nimepiga kozi na sister wa katoliki na alifata sheria zote kama jeshi linavyoelekeza.
Acheni kujipa uspesho ambao hauna maana.

Sio lazima kuhudhulia mafunzo .
 

Mwarabu mweusi kumekucha
 
Wagalatia wanadhani sheria za jeshi zimetoka kwa YESU.
 
Kama mnataka kuishi kwa kufuata misingi ya dini yenu nendeni mkaishi Afghanistan kwa talban, tofauti na hapo mtafuta taratibu zilizopo mnataka au hamtaki
Na nyinyi kama bandari hamtaki iendeshwe na MWARABU hamieni Kenya au Msumbiji au hata Somalia, huko MWARABU hajapewa uendeshaji.
Mkiendelea kubaki hapa mtake msitake MWARABU ataendesha na kusimamia bandari zetu.
 
Nyie ndio mnawqnyima wafu fahari ya macho na maushungi yenu na mabaibui
 
Hii Nchi sio ya kiislamu, taratibu zifatwe za kijeshi hakuna urembo kule
 
Wale wenzangu wote tulopita JKT enzi hizo kunyoa upara kuna maana moja tu, ni kushushwa chini ili kujengwa morali mpya na nyote kuwa sawa bila kujali mtoto wa mkubwa wala tajiri gani au bwanyenye yupi au wa nani.

Hiyo ndo maana halisi ya watu kunyolewa upara huko JKT na makambi mengi katika nchi zingine kwa vijana.

Tatizo ni elimu na miongozo hafifu baada ya vijana kupata nafasi ya kujiunga na JKT.

Kwanza hupewa barua ambayo huambatana na maelezo yote muhimu kuhusu kambi utayokwenda.

Pia kutakuwa na kanuni zote zihusuzo mavazi, sare, malazi na sheria zote katika muda wote utakaokuwa kambini.

Kunyoa upara ni jambo la kawaida kabisa maana hadi wamaliza mafunzo wenye nywele zako zishakua ati.
 
Jeshi halina dini
 
Na nyinyi kama bandari hamtaki iendeshwe na MWARABU hamieni Kenya au Msumbiji au hata Somalia, huko MWARABU hajapewa uendeshaji.
Mkiendelea kubaki hapa mtake msitake MWARABU ataendesha na kusimamia bandari zetu.
Sasa muarabu anaingia wapi kwenye hilo swala 🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…