Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Waislam duniani kote wanasubiria kuandama kwa mwezi ili kujua kama kesho ni sikukuu au laa.
Kwasisi hapa Tanzania chombo kinachopaswa kutangaza sikukuu hiyo ni Bakwata.
Ewe mwana jf kama utakuwa na taarifa zozote huko ulipo kwa waliopo Tanzania, tujuzane kama mwezi utakuwa umeonekana maeneo yako ili kuwasaidia Bakwata na waislamu kwa ujumla.
Karibuni...
=====
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewajulisha Waislamu na Wananchi wote kwa ujumla kuwa Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa kati ya Alhamisi May 13,2021 au Ijumaa May 14, 2021 kutegemea kuandama kwa mwezi.
Sherehe za Eid El- fitr kitaifa kwa mwaka huu zitafanyika Dar