BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

Kwani mpaka uonekane Tanzania Mkuu? Mwezi ni huo huo moja dunia yote hata ukionekana Urusi inabidi iwe Sikukuu lakini hao BAKWATA ni wapuuzi kwani wao mwezi ni lazima uonekane Tanzania tu.
ukitaka kuwapata bakwata ni kwenye mas'ala kama haya ya muandamo wa mwezi lkn waambie waandae tqmasha kama hili la leo uwanja wa mkapa bakwata hutawasikia
leo eti shehe zuberi ni mualikwa na amealikika kabisa bila aibu.
 
Kwani mpaka uonekane Tanzania Mkuu? Mwezi ni huo huo moja dunia yote hata ukionekana Urusi inabidi iwe Sikukuu lakini hao BAKWATA ni wapuuzi kwani wao mwezi ni lazima uonekane Tanzania tu.
Unaonekana umesoma sawa lakini una ufinyu wa somo la Geography.Ikinyesha mvua ulipo wewe sio dunia nzima mvua inanyesha.Kama ulipo na ninapoandika mada hii sasa ni saa tatu na dakika 23 asubuhi sio dunia nzima ni saa tatu na dakika 23.
Umande mbaya sana
 
Back
Top Bottom