BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

Aisee hii inakaaje jamani nyie wenzetu waislam? Ratiba zote zimevurugika. Tushahairisha mambo mengi na kuwambia watu j3 ndo waje dah. Hii dini kuna changamoto hasa eid.

Yaan sijuhi nafanyaje kila kitu nimehairisha kuwa kesho ni siku kuu, sasa muda huu ntawapigia kuwambia waje? Aisee ni kero.
 
Kama kuna kitu ambacho huwa sikielewi kwenye uislamu wa Tanzania ni kuhusu kuandama mwezi.

Yaani mwezi umeonekana Kenya, halafu Tanzania wanaogopa kula Eid.
Sijui tunakwama wapi?
Mkuu katika mambo magumu ambayo yalinichukua kufanya maamuzi ni suala la mwezi.

Hii ishu inagonga mpaka vichwa vya maostadhi wenyewe na mpaka wanazuoni wakubwa waliopita walitofautiana jjuu ya ishuu.

Kuna mwanazuoni mmoja nadhani ni ibnu taymiyyah huyu naweza kumuita kama einstein jamaa alikuwa hodari sana yeye akasema muhimu ni kitu kimoja ambacho ni "TAARIFA" ikikufika taarifa MAPEMA kuwa kuna sehemu umeonekana basi unatakiwa ufunge ama ufungue.

Lakini kuna mas'ala mengi yanaingia hapo ya mambo ya utawala n.k
 
Qadhi wa kenya hajatangaza mwezi kuonekana.

Kehso kenya hakuna iddi ambayo itakuwa imetangazwa na qadhi.

Isipokuwa wale wenzangu na mimi wa mwezi wa popote ndo tutakula iddi.
 
mimi pia sielewi. wanasayansi wanajua kila tarehe ya mwandamo wa mwezi kwa zaidi ya miaka 100 ijayo.

Mfano Pasaka ya Wayahudi hufanyika wakati wa mwezi mpevu ulioandama baada ya tarehe 21 Machi. Mwaka 2022 itakuwa Tarehe 16/Aprili.

Mwaka 2023 itakuwa Tarehe 06/Aprili.
 
Habari wadau..!
Kwa wale waliokuwa wanatarajia kwamba kesho ni sikukuu shekhe mkuu kashatoa tamko kwamba mwezi haujaandama .

Hivyo kesho sio siku kuu ,watu waendelee kufanya maandalizi .
Leo raha sana
Wanawake kwa wanaume wote tunaulizana kama tumeuona mwezi🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Sisi wengine leo tumekamilisha 30,kesho tunakula IDD.
 

Uko sawa Mkuu nimegoogle nao ni Friday lakini nchi nyingi Uarabuni ni kesho.

Mosques across the UAE would host socially distanced Eid Al Fitr prayers this year, it was announced on Monday. Strict Covid safety protocols will be in place for the prayers.

Covid-19: UAE announces Eid Al Fitr prayer guidelines

Depending on when the Shawwal crescent is sighted, Eid Al Fitr 2021 would be either on Wednesday, May 12; or Thursday, May 13.
Qadhi wa kenya hajatangaza mwezi kuonekana.


Kehso kenya hakuna iddi ambayo itakuwa imetangazwa na qadhi.

Isipokuwa wale wenzangu na mimi wa mwezi wa popote ndo tutakula iddi.
 
Wafanyakazi walijua kuanzia kesho ni bata, kazini hadi jumatatu.
 
Back
Top Bottom