BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

wale wa bishi aka 4wl driver kesho lazima wale idd hawafatagi bakwata
 
IMG-20210512-WA0053.jpg
 
Kama kuna kitu ambacho huwa sikielewi kwenye uislamu wa Tanzania ni kuhusu kuandama mwezi.

Yaani mwezi umeonekana Kenya, halafu Tanzania wanaogopa kula Eid.
Sijui tunakwama wapi?
Tatizo kuna viumbe wana hati miliki, subhanallah!.
 
Sijawahi kuwa kitu kimoja na BAKWATA, Mimi kesho ni SIkukuu
 
Sijawahi kuwa kitu kimoja na BAKWATA, Mimi kesho ni SIkukuu
 
Naam naam.
Aya ya 5.
iddi NI sikukuu yetu sote
Wakristo na waislam
Screenshot_20210512-205725.jpg
 
Mwezi ni mmoja tu dunian kama hapo rwanda wanakula idd nyie bongo mnamatatizo gani?
IMG_20210512_210337.jpg
 
Australia na dunia nzima idd inaliwa lini mtabadilika enyi bakwata
 
Back
Top Bottom