Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah Mufti kashasema kesho sio sikukuuanasikia TFF wamesogeza Mwezi mbele mpaka kesho jioni ,so ijumaa ndiyo sikuu
Sheria usipoonekana 29 watu wakikamilisha 30 ni sikukuu.Mwezi utoke ama usitokeUsipoandama ijumaa inakuaje au lazima uandame. nimeuliza kwa nia nzuri tu wakuu wangu mana hua sijui iko vipi
Kaka mbona unatukana[emoji20]EID MUBARAK
TAKABBAL ALLAAHU MINNA WA MINKUM
MaanaKaka mbona unatukana[emoji20]
Tatizo kuna viumbe wana hati miliki, subhanallah!.Kama kuna kitu ambacho huwa sikielewi kwenye uislamu wa Tanzania ni kuhusu kuandama mwezi.
Yaani mwezi umeonekana Kenya, halafu Tanzania wanaogopa kula Eid.
Sijui tunakwama wapi?
Kul'am wa antum bikhairEID MUBARAK
TAKABBAL ALLAAHU MINNA WA MINKUM
Location plz...Ninayo gheto njoo uione..😃
Sijakuelewa mzee scarrrrshuna mikazo
polisi umekoswa na risasi mbili tu kesho unatishia kuacha kazi?
Code no 20, street 4012 latitude 2040866Location plz...