Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #61
Ccm wameuficha pale lumumba, Hawa watu Wana roho mbaya Sana haswa Ndugai na jambaz sabaya
Nimecheka sana[emoji13]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm wameuficha pale lumumba, Hawa watu Wana roho mbaya Sana haswa Ndugai na jambaz sabaya
Ulionekaa Dodoma jana, Ndugai akauficha!
Hatari sana! mpaka wanaume nawenyewe wanadai hawajauona mwezi
Ww acha undezi kujifanya uislam ni dini ya baba yako ...Uislam ni dini huru mtu yeyote akiupenda anakaribishwa wala si dini ya ungomvi ila wamatumbi km nyie ndo mbaifanya km ya babu yenu na kuwaona wengine ni hawafai
Tunaomba hilo tamko mkuiHabari wadau..!
Kwa wale waliokuwa wanatarajia kwamba kesho ni sikukuu shekhe mkuu kashatoa tamko kwamba mweI haujaandama .
Hivyo kesho sio siku kuu ,watu waendelee kufanya maandalizi .
Sisi tunafungua kesho kwa uhuru wa kuabudu tuliokuwa naoHabari wadau..!
Kwa wale waliokuwa wanatarajia kwamba kesho ni sikukuu shekhe mkuu kashatoa tamko kwamba mweI haujaandama .
Hivyo kesho sio siku kuu ,watu waendelee kufanya maandalizi .
Linakuja tuna download hapaTangazo please