Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Picha ya mwezi ukiandama iko wapi.. ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya yote unataka nini? Busara ni kutuachia wenyewe
Nayataka sababu mimi ni kati ya hiyo jamii, naishi nao, nakula nao, nafurahi nao na kulia nao pia..... Au unataka nikuachie wewe na nani?
Anatafutia watu ban za bure tu .Hii sredi unaweza ambulia mitusi.
Acha nisubiri mihemko iishe nije niwape ndugu zangu salamu za Eid.
Kwa Tanzania bado haujaonekana?
Yule mtoto IDD wa juma nature sio!Kwani Idi mwenyew anasemaje?
Mwezi usipoandama sikukuu inalazimishwa kwa nguvu!Embu tukubaliane tu mwezi umeandama na kesho sikukuu. Nimesema tukubaliane tu, sijasema mwezi umeandama au haujaandama.
Kwa nia njema tu.
Ktk hiili MUNGU awasaidie bakwataBakwata? Mungu awasaidie!
Ww acha undezi kujifanya uislam ni dini ya baba yako ...Uislam ni dini huru mtu yeyote akiupenda anakaribishwa wala si dini ya ungomvi ila wamatumbi km nyie ndo mbaifanya km ya babu yenu na kuwaona wengine ni hawafaiWewe si muislam, ulivyofunga wewe kwaresma hakuna mtu alihoji kwanini walokole hawaamini pasaka sijui Christmas, hivyo nakushauri fuata hii aya hapa chini
(لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ)
[Surat Al-Kafirun 6]
Ulionekaa Dodoma jana, Ndugai akauficha!Kwa Tanzania bado haujaonekana?