BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

Wenye iddi wanasema kesho ni siju ya kazi kama kawaida!
 
Wewe si muislam, ulivyofunga wewe kwaresma hakuna mtu alihoji kwanini walokole hawaamini pasaka sijui Christmas, hivyo nakushauri fuata hii aya hapa chini

(لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ)
[Surat Al-Kafirun 6]

Mkuu kwani wewe una hati miliki ya dini?
Maana naona unaibinafsisha hiyo imani wakati yoyote na muda wowote aweza kuamua kuwa muislam
Mtume SAW angekua na hulka yako waislam wangekua makka na madina tuu

Acha unyimi
 
Tofautisha hayo unayoyasema na ninayokuambia mimi, maana mimi sijakunyuma wala kukukataza kuingia kundini ila hoja unataka tujadili kuhusu ikhtalafu za mwandamo wa mwezi ili hali wewe si katika sisi hiyo ni haki?
 
Sheikh Mkuu wa bakwata keshatuharibia nilikuwa nalewa haps najua kesho off
 
Wewe si muislam, ulivyofunga wewe kwaresma hakuna mtu alihoji kwanini walokole hawaamini pasaka sijui Christmas, hivyo nakushauri fuata hii aya hapa chini

(لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ)
[Surat Al-Kafirun 6]

Wao wana dini yao na mimi nina dini yangu. Kwa wasioelewa hapo kwenye kiarabu [emoji2]
 
Back
Top Bottom