BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

😂😂😂😂😂😂 Kesho Sikukuu Mkuu Pilau ya kuku na kachumbari kama KAWA!
Embu tukubaliane tu mwezi umeandama na kesho sikukuu. Nimesema tukubaliane tu, sijasema mwezi umeandama au haujaandama.
Kwa nia njema tu.
 
Kama nawaona kuna wazee washafanya booking lodge neema ya mwezi mzima inapotea kwa siku moja.

Mwenyewe nishaanza kuhisi Iddi kesho hamna,mpaka mda huu sioni tamko.
Wazee wameshatenga kilo zao kadhaa za kitimoto IDD ikitangazwa tu ni TAKIBIIR...!

Ukimtongoza Ustaadhat anakuambia tafadhali subiri mfungo wa Ramadhan uishe

Hii dunia ina raha yake sometimes
 
Wazee wameshatenga kilo zao kadhaa za kitimoto IDD ikitangazwa tu ni TAKIBIIR...!

Ukimtongoza Ustaadhat anakuambia tafadhali subiri mfungo wa Ramadhan uishe

Hii dunia ina raha yake sometimes
Ha ha
 
Ewe mwana jf kama utakuwa na taarifa zozote huko ulipo kwa waliopo Tanzania, tujuzane kama mwezi utakuwa umeonekana maeneo yako ili kuwasaidia Bakwata na waislamu kwa ujumla.
Na kama sisi wa imani nyingine tukiuona tutaaminiwa tukiwaambia?
 
Waislam duniani kote wanasubiria kuandama kwa mwezi ili kujua kama kesho ni sikukuu au laa.

Kwasisi hapa Tanzania chombo kinachopaswa kutangaza sikukuu hiyo ni Bakwata.

Ewe mwana jf kama utakuwa na taarifa zozote huko ulipo kwa waliopo Tanzania, tujuzane kama mwezi utakuwa umeonekana maeneo yako ili kuwasaidia Bakwata na waislamu kwa ujumla.

Karibuni...
 
Na bado wanaukosa??[emoji35][emoji35][emoji35]
IMG-20210512-WA0060.jpg
 
Back
Top Bottom