BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

Leo ndio tunakamilisha siku ya 30 ya mfungo wa Ramadhan sisi Bakwata hivyo sikukuu ya Eid ni kesho Ijumaa.

Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!

Ramadhan kareem!
 
NYIE MAAMUMA MBONA MWATUCHANGANYA?WENGINE KESHO WENGINE JUMAMOSI?
 
Leo ndio tunakamilisha siku ya 30 ya mfungo wa Ramadhan sisi Bakwata hivyo sikukuu ya Eid ni kesho Ijumaa.

Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!

Ramadhan kareem!
Moderator baadhi ya nyuzi kama hizi ni upuuzi mtupu na hazina hadhi kuwepo hapa.. Sometimes ikibidi maonyo yatolewe kwa watu wa aina hii ili walau Forum yetu pendwa isije kupoteza heshima iliyojijengea
 
Za miaka ilopita nnazo,
Ahaa huwezi kupata zote,kuna zingine hukuwa nazo.

Okay

Mimi nipo njiani hapa naelekea kusali eid mida hii saa 1:30 tunasali.

Somali ambao jirani na kenya wameona mwezi.

Kenya ambao jirani na sisi wameona mwezi.

Lakini mufti wa kenya hajatangaza mwezi huo,lakini baadhi ya watu wa kamati yake wamegawanyika kuna baadhi wanasali leo alhamisi ma wengine kesho ijumaa.
 

Attachments

  • VID-20210513-WA0005.mp4
    12.1 MB
  • VID-20210513-WA0002.mp4
    13.5 MB
Hivi huo mwezi nani mmiliki wake haswa?
Tofautisha hayo unayoyasema na ninayokuambia mimi, maana mimi sijakunyuma wala kukukataza kuingia kundini ila hoja unataka tujadili kuhusu ikhtalafu za mwandamo wa mwezi ili hali wewe si katika sisi hiyo ni haki?
 
Huyu naye ashaiga mambo ya TFF.

Anaweza kuwa kishapata maagizo toka juu....sijui huko juu ni wapi..

Wanazingua sana hawa jamaa.
 
Eid mubarak to all my brothers and sisters allover the world from palestine to kashmir, from Syria to Mozambique, may Allah accept from you and us!
 
Dah yani huyu mufti ananifanya nijisikie vabaya ,hivi ajisikii aibu kweli
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Ameen. May Allah accept our fasts and forgive us for our flaws.

Eid Mubarak Folks.
 
Back
Top Bottom