luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Aisee hii inakaaje jamani nyie wenzetu waislam? Ratiba zote zimevurugika. Tushahairisha mambo mengi na kuwambia watu j3 ndo waje dah. Hii dini kuna changamoto hasa eid.
Yaan sijuhi nafanyaje kila kitu nimehairisha kuwa kesho ni siku kuu, sasa muda huu ntawapigia kuwambia waje? Aisee ni kero.
Yaan sijuhi nafanyaje kila kitu nimehairisha kuwa kesho ni siku kuu, sasa muda huu ntawapigia kuwambia waje? Aisee ni kero.