Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nchi nyingi Eid ni kesho Mkuu.
Bakwata? Mungu awasaidie!
Kwa Tanzania bado haujaonekana?
Kwani mpaka uonekane Tanzania Mkuu? Mwezi ni huo huo moja dunia yote hata ukionekana Urusi inabidi iwe Sikukuu lakini hao BAKWATA ni wapuuzi kwani wao mwezi ni lazima uonekane Tanzania tu.
Kwahiyo tumekubaliana Bakwata=CCM
Kama nawaona kuna wazee washafanya booking lodge neema ya mwezi mzima inapotea kwa siku moja.Waislam duniani kote wanasubiria kuandama kwa mwezi ili kujua kama kesho ni sikukuu au laa.
Kwasisi hapa Tanzania chombo kinachopaswa kutangaza sikukuu hiyo ni Bakwata.
Ewe mwana jf kama utakuwa na taarifa zozote huko ulipo kwa waliopo Tanzania, tujuzane kama mwezi utakuwa umeonekana maeneo yako ili kuwasaidia Bakwata na waislamu kwa ujumla.
Karibuni...
On the same page Mkuu, Kenya mwezi umeonekana.
Miaka yote Kenya mwezi unawahi kuonekana
Sijui dhehebu kubwa la kenya ni tofauti na la tanzania au huwa wanachoka kufunga 🤔🤔
Mwezi umeonekana..?Assalam aleikum warahmatullah wabarakatu.
Niwatakie Eid njema kwenu na familia zenu.