Bakwata uislaam huo mmeutoa wapi? Kumbukeni moto ni mkali sana mtaenda chomwa

Sawa.
 
Hakuna mahala nilipoandika nimebuni, hakuna mahala nilipoandika uniwekee risiti ya malipo ya bank! Bali nilichokihitaji kutoka kwako ni yakini.
Allah shAhidi wa haya
 
Kama hali ipo hivyo si vyema kutupa shutuma. Ni vyema kuwa nasihi na kuwapa ushauri. Quran imetupa sifa ya tunaoneana huruma na Quran yenyewe inatutaka tuaidhiane kwa hekima.
Wenyewe waonewe huruma wakati ambao wao hawajamuonea huruma mwanamke...

Na hiyo ndio hekima yake.. .
 
Usiwe ni mwenye ghadhabu.

Usiwe ni mwenye kuhukumu watu! Umejikita kuhukumu watu, haujajikita kuogopa kwa unachokifanya bali umejipa yakini kwa unachokifanya. Dini yetu ni ya Mungu tuwe na heshima na viumbe vyake.
Subiri siku ya KUDHULUMIWA mama yako au bint yako ndio utaona ni ghadhabu ama la!
 
Siku Musa alivyomvuta ndevu Harun akimkaba kwa hasira ungekuwepo ungesema Musa hana hekima
 
BAARAKALLAH FIYK... NAOMBA MODS HII COMMENT MUIPIN. ..

HILI NDIO LENGO..
 
Wenyewe waonewe huruma wakati ambao wao hawajamuonea huruma mwanamke...

Na hiyo ndio hekima yake.. .

DsmicSound itimilize haki ya Allah kwa kuwaelekeza watu waelekee kwake. Uovu hauondoshwi kwa uovu. Itangulize mbele huruma kutoka ndani ya moyo wako. Mtume rehma na amani ziwe juu yake alimkubalia Wahshi kuingia kwenye Uislam ijapokuwa Wahshi alimuulia Mtume uncle wake Hamza r.a ijapokuwa Mtume rehma na amani ziwe juu yake alionelea ngumu kumtizama usoni pindi anasilimu. Hii nayo ni sunnah ya Mtume, tuifuate.

Ikiwa Allah anatuambia waja wake waliyokuwa na israfu ya madhambi wasikate tamaa kwenye rehma yake ni huruma ya namna gani hiyo? Tuwe na huruma na waliyopo chini, tutaonewa huruma na aliyepo juu.
 
Subiri siku ya KUDHULUMIWA mama yako au bint yako ndio utaona ni ghadhabu ama la!
Kama familia tulishadhulumiwa millioni 300 unajua ni nini tulichokifanya? Usiruhusu matamanio ya nafsi yakuchukue.
 
Siku Musa alivyomvuta ndevu Harun akimkaba kwa hasira ungekuwepo ungesema Musa hana hekima
Kadhia iliyomfanya Nabii Musa A.S amvute nduguye Nabii Haaruun A.S ndevu utainasibisha na ya kwako?
 
Kadhia iliyomfanya Nabii Musa A.S amvute nduguye Nabii Haaruun A.S ndevu utainasibisha na ya kwako?
Hivi unaijua vizuri kadhia ya Musa na Harun.. .?

Mpuuzi wewe umekuja hapa kwa lengo la kujifanya una upole.. Kwenye Maasi juu ya Allah...

Hekima ni kulifanya jambo kwa kila jambo pahala pake. ..

Kuna mahala pa upole na kuna mahala pa ukali...

Uislaam ni wa katikati. . . Usijikute unaigiza au unaniletea UKHURAFI HAPA.. .

KWANZA HATA UAMBIWEJE UMEWEKA USUSUAVU WA MOYO HUTOKUBALIANA NA MIMI SHIA WEWE NA BABA ZAKO AKILA ALHADI...

KAA MBALI NA MIMI KHURAFI MKUBWA WEWE.. ..
 
Kadhia iliyomfanya Nabii Musa A.S amvute nduguye Nabii Haaruun A.S ndevu utainasibisha na ya kwako?
Tatizo lako nishalijua tayari.. . Hutaweza kuelewana. .. Una yako kichwani. .. SIONGEI NA WEWE TENA. ..
 
Nakusihi pamoja na kuisihi nafsi yangu, livue vazi la kujioni ni msafi katika imani/dini.
Ndio mimi nipo njia salama kwa sababu kigezo changu ni Mtume na maswahaba zake.. . Wewe kabaki na quraniyyuun mwenzako faizafoxy na mashia wenzako. .. Achana na hii post kama inakuuma au kama baba yako yupo bakwata mpe ujumbe huu mwambie aache dhulma.. .
 
Kwa mtazamo huu, hakuna kitakachoandikwa JF... Maana kila kiandikwacho kina pahala pa kupeleka.. JF SI PA MAMBO YASIYO NA KWA KWENDA PEKEE.... Wakati mwingine huko kunakotakiwa kupelekewa mambo fulani kuna tatizo linaoloathiri unachokipeleka
 
Uhakika kwamba fulani yupo humu tunao kwa VERIFIED MEMBERS PEKEE.. eg Zitto etc.. sisi wengine hatujui kama na JPM yumo personally au la..!! hivyo bado naitazama kuwa ni sahihi kuandika humu...

UNAKUMBUKA WAKATI WA KIPINDI CHA PILI CHA JK, PIUS MSEKWA ALIITAJA JF KAMA SABABU YA KUPUNGUA KWA KURA ZA JK KWA KIPINDI CHA PILI...?? Kwani Pius Msekwa hadi atamke vile, alikuwe/yumo humu?
 
Nakusihi pamoja na kuisihi nafsi yangu, livue vazi la kujioni ni msafi katika imani/dini.
Unanisihi nini wakati ulikuwa unapinga. .. Baada ya kukwambia shahidi ni Allah na nikakwambia nikuletee docs za bank. .. Sasa unanisihi... Basi HUKUWA NA LENGO LA KUJUA UKWELI ILA ILIKUWA NI KUPINGA TU KWA MASLAHI YAKO...

KUTOKUJUA KAMA NI MSAFI AU KUTOKUWA MSAFI NDIO NIFUNGE MLANGO WA KUKEMEA MUNKARI. ..

UISLAAM HAUPO HIVYO.. .

LENGO LA HUU UZI NI KUWEKA BAYANA UBAATWIL WA GHARAMA ZINAZOTOZWA NA BAKWATA KWA WANAWAKE DHAIFU. .. NA KUUWEKA WAZI USITOE HIZO GHARAMA HAZIHUSIANI...
 
Inamaana mahaka ya Qadhi Tanzania imeanzishwa?
 
Kwa mtazamo huu, hakuna kitakachoandikwa JF... Maana kila kiandikwacho kina pahala pa kupeleka.. JF SI PA MAMBO YASIYO NA KWA KWENDA PEKEE.... Wakati mwingine huko kunakotakiwa kupelekewa mambo fulani kuna tatizo linaoloathiri unachokipeleka
Hao wanaosema uwapelekee huko wenyewe wako tayari kupokea? Wamefungua mlango wa nasaha kupokea?
 
Mada nzuri sana na inafikirisha lakini ngoja waje watu na busara zao, Sheikh Kipozeo karibu huku mtaani kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…