PostGE2025 BAKWATA wafanya Dua kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Basi wakristo wakotoliki wapo mbele sana kiupeo, wao dua ya namna hii walifanya pale mwanzoni kabisa wakati upande wa pili wakiwa wana beza na kutukana.
Leo karibu miezi sita ndio wanaona sababu ya kufanya hivyo!
 
Haitarudisha uhai wa waliouliwa kikatili na serikali ya Ccm!
Haitarudisha miili ya watu waliozikwa kwenye makaburi ya halaiki!

Kama walishindwa kukemea mauaji, hii credibility ya kuiombea tume batili wanaitoa wapi?
 
Huwa najiuliza: hakuna kabisa namna ya kutengeneza orodha ya watu wote waliouliwa O29? Ni kweli watu hawajazika wapendwa wao, lakini hata akija Trump hapa kutusaidia, atauliza hizo maiti zilizopotezwa ni za akina nani? Je, kaburi la haiki lilipo tumeshindwa kabisa kuonyesha mashirika ya haki za binadamu watusaidie?
 
Pikeni lakini mjue mtakula wenyewe.
 

Mambo mengine ni ya kijinga kabisa. Yaani wanahitaji kuombewa ili watende haki...!!?
 
 
Orodha, picha , video ziko hapa.

 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…