BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

Wangeenda kufanyia maadamano Zanzibar kwa waisilamu wenzao, wangekutana na upinzani mkali
 
Haya maandamano ya BAKWATA ni maandamano yasiyo na kichwa wala miguu. Nani anayapokea? Wanamuonesha nani?

Ingeleta maana kama wangeyaelekeza kwenye balozi ya moja ya nchi zinazowakubali mashoga balozi wao akawajibu.

Sasa nani angewajibu hoja zao? Hawa waislam huwa wanakurupukaga na maandamano yao. Wakimaliza kuswali swala zao, wanahamasishana kuandamana, hao mbio barabarani kuandamana maandamano yasiyojibiwa.

Waende ubalozi wa EU wakajibiwe hoja zao za kupinga ushoga
 
Haya maandamano ya BAKWATA ni maandamano yasiyo na kichwa wala miguu. Nani anayapokea? Wanamuonesha nani? Ingeleta maana kama wangeyaelekeza kwenye...
Mashoga watapingwa kwa njia yeyote ile?

Umesikia wewe unayeteswa na Islamophobia kila siku?

Kwenye jamii ya watu waliostaarabika lazima machafu yapingwe,hutaki meza Tofali.
 
Mashoga watapingwa kwa njia yeyote ile?

Umesikia wewe unayeteswa na Islamophobia kila siku?

Kwenye jamii ya watu waliostaarabika lazima machafu yapingwe,hutaki meza Tofali.
mtaweza wapi nyie? Tulieni tu huu muziki kwa nyie hamtauweza. Tena mnakosea sana approach ya kupinga. Bora mgebaki huko ndani ya majumba yenu ya kuabudia mpinge huko. Huku nje mashoga wanawachora tu
 
Mashoga watapingwa kwa njia yeyote ile?

Umesikia wewe unayeteswa na Islamophobia kila siku?

Kwenye jamii ya watu waliostaarabika lazima machafu yapingwe,hutaki meza Tofali.
hamezi mtu tofali. Mnakurupuka sana, kwani nyie na hao wanao impose ushoga duniani ni nani amestaarabika? Nchi zinazounga mkono ushoga ndizo zimestaarabika kuliko nyie.
 

Hawa jamaa wanakosaga vya kufanya,kwahiyo nchi hii tatizo kubwa ni ushoga?blakfaken
 
Jamaa mmoja kanisimulia aliamua kujaribu kuchomeka baada ya kushawishiwa na wenzie, akaneleza utamu aliopata hatswahi acha anadai joto la kule kusini ni kali sana huchukui dakika tano hujamwaga razi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oyaaa! shimo la tunu!
 
Waelekee kule hospital sasa wakang'oe zile bendera za upinde wa mvua, km kweli wanamaanisha uislamu ndio unapinga ushoga kidhati nendeni mkang'oe zile bendera za mashoga haraka sana anzeni na Singida alafu elekeeni Zenjibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…