BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Mwenyewe naunga mkono hoja, wazazi wameshindwa kuwafundisha watoto wa kike .maadili na kuwaachia waalimu, matokeo yake wanafanya uhuni wakiwa wadogo, wanameza ma-P2 bila kujua madhara na pia wanakuwa sio mabikra na hivyo kuendana kinyume na Maandiko Matakatifu.
Na kwakuwa Serikali haiwezi rekebisha maadili ambayo ni jukumu la wazazi, naomba sheria hii iendelee ila itafutwe utaratibu wa mtoto aendelee kusoma huku uzazi wa mpango wa asilia ukitumika mpaka mtoto atakapomaliza kidato cha nne.
Maadili yamekuwa ya hovyo sana kipindi hiki huku masingle mothers wakiongezeka sana kwa Kasi.
 
Unajimenyea mwenyewe bikra zote 2 na Mke wako halali kabisa wa ndoa, ama kweli Bongo bahati mbaya [emoji30]
 
Kwanin lisiwe la kidini wakati limeletwa na baraza la kidini? ni kweli mtume alimbikiri mtoto wa miaka tisa na hiyo tabia wafuasi wake munataka kuirithi. AIBU YENU
 
Wewe ungeolewa na Umri huo wa miaka 14 sasa hivi ungekuja ku coment hapa wewe
 
Quran haisemi hayo uliyoyaandika wewe. Kasome tena
 
Wewe ungeolewa na Umri huo wa miaka 14 sasa hivi ungekuja ku coment hapa wewe
Sijakuelewa ulichomaanisha.

Msichana akisha vunja ungo kwanini asiolewe?

Mvulana akisha balehe kwanini asiowe?
 
Acha ujinga wewe, inshu ya kuliwa ni nyingine kabisa tofauti na uwajibikaji wa Mke na ukomavu wa akili za maisha ya NDOA.
Ya kwamba binti yako ni bora kufanya uzinzi na udangaji kuliko aolewe.

Alafu hata hao wanao olewa wakiwa wakubwa na elimu mbona uwajibikiji wa mke na ukomavu wa akili za maisha ya ndoa hawana mpaka vijana wakaanzisha kampeni ya kataa ndoa?
 
Sheria ya kimasikini ambayo watu wake hawathamini elimu. Waachwe wafanye watakavyo.
Ndoa zinawashinda watu wazima na uzee wao huyo wa miaka 14 atawezqje kama sio unyanyasaji.
1. Hivi Elimu Ni lazima iwe darasa la kwanza Hadi la Saba.. then secondary.. chuo ??
Kama mtu ana elimu ya vitendo tu ( Elimu ya kilimo , Ufugaji, Ushonaji nk ) haitaitwa Elimu ?

2. Watu wazima kushindwa ndoa sio kigezo Cha Kufanya umri wa kuingia ndoani uongezwe hapana.
( Kumbuka:- hata wapumbavu, wajinga na wenye Uelewa mdogo wanakuwa watu wazima na kuzeeka.. hivyo watu kama hao hata Kama wangeingia ndoani achilia mbali kwenye utu uzima wao huo, wangeingia kupindi Cha umri huo 14+ Basi ndoa ingewashinda tu)

3. Kilitumika kigezo gani ati utu uzima Ni Kuanzia umri wa miaka 18+ na sio chini ya hapo ??!!
( umbo, Uelewa, Kujitegemea, au nini)

4. Hiyo Ni Sheria tu ambayo ipo nchini Hadi leo.. na Tena haijatungwa na BAKWATA Ila wao wanatoa mapendekezo yao Kulingana na uhalisia wanao uona wao.. sawa tu na yanavofanya mashirika ya haki za watoto.

5. Sheria ipo lakini haina maana kwamba mtu atalazimishwa kuolewa baada tu ya kufikia umri huo wa 14+.. HAPANA Ila mtu anaweza kuolewa zaidi ya umri huo au asiolewe Kabisa.. Na itabaki kutimilizwa baada ya kuzingatia Vitu vingine.

6. Elimu hii ya darasa la Saba hadi Chuo Ni Nzuri lakini haitoshi Wala kufaa kwa mtu kama hana UFAHAMU & UTAMBUZ.. hivyo haitakiwi kuhusishwa Kama kigezo Cha kuamua umri gani wa mtu kuingia ndoani.

>Mtoto wa Kike/Wakiume wa umri wa 14+ Kama anaonekana Kuwa na Uelewa & utambuz mzuri Basi aruhusiwe kuingia ndoani.. Sababu wapo wengine Ni 20+ na tena wamefika hadi vyuo vikuu laini Uelewa wao Ni mdogo saaana kuliko baadhi ya hao wenye 14+.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya kwamba binti yako ni bora kufanya uzinzi na udangaji kuliko aolewe.

Alafu hata hao wanao olewa wakiwa wakubwa na elimu mbona uwajibikiji wa mke na ukomavu wa akili za maisha ya ndoa hawana mpaka vijana wakaanzisha kampeni ya kataa ndoa?
Kwanini umfikirie Binti yako upande wa matatizo tu pasipo kumuwazia mema, inamaana unamlea kihuni huni tu bila ya maadili mema?
 
Wengi ukingalia hapa wanajibu kimihemko wala hawajafikiri na kujibu kwa hoja.
Na hapo jambo lipo chini ya idhini ya mahakama ikiwa inaona kuna haja ya kufanya hivyo. Sasa sijui lingepitishwa moja kwa moja ingekuwaje?!
 
Sikubalian nao kabisa binti wa 14 ni ubakaji wa watoto tena wafungwe maisha.

Watoto wahimizwe kusoma ili kuondoa ujinga kichwan na sio kuwaza waolewe tu ndoa zenyewe
Huko shuleni wanapigwa mimba
 
Ndugu Hassan Fatiu ana kabinti kweli ka umri huo nataka niendenkukaposa ili bintie awe wa mfano..
 
Kwanini umemfikiria Binti yako upande wa matatizo tu pasipo kumuwazia mema, inamaana unamlea kihuni huni tu bila ya maadili mema?
Hili ndo tatizo la waafrika kuukataa ukweli hata kama wanaushudia.

Ukweli ni kwamba hao mabinti wenye huo umri mnao waita watoto huku mtaani wanafanya ngono sana tena na watu wazima kama baba zao.
Mitaa imejaa rundo la mabinti wa miaka 13 ,14 mpaka 15 walio pewa mimba na kuzalishwa alafu wakatelekezwa sasa si bora waolewe kuliko kuwa wanafanyiwa hivyo?

Mabinti wa siku hizi wame jaa uhuni mwingi mno sasa hivi kukuta binti wa hiyo miaka 14 ambao ww unamuita mtoto ana mmiliki wanaume 3 na wote anaeahudumia kingono ni jambo la kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…