KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Aliyemaliza darasa la 7 na kufeli ni lini serikali ilimrudisha shule?Au unaropoka tu ilionekane umechangia huu uzi?.Mtaani mzazi ambaye ana mtoto ambaye ana umri wa kwenda shule afu mtoto anashinda tu nyumbani, serikali kupitia ma afisa elimu waliunda operation kabambe ya kamata kamata waliwatia jela hao wazazi wakanyea makasha siku kadhaa kisha waliporudi makwao walikuta watoto wako shule.
Pengine mtaani kwako viongozi wa juu kama afisa elimu ni masheikh wanounga mkono itikadi kama hizo na ndio maana mambo kama hayo yanaendelea
Nature haina mbadala ndugu.Mtu akivunja ungo na kubarehe huwezi zuia matamanio ya yeye kutoa mbwa .Nadhan ni bora kuendelea kupambana kuushinda unyanyasaji wa kingono kwa hawa watoto kuliko kuona kuruhusu kuolewa kwao ndo kutatua changamoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisapoti binti mdogo kufanya ngono, ila kuna tofauti Kati ya kufanya ngono na kuwa mke wa mtu…kuwa mke wa mtu kuna majukumu mengi kuliko kufanya hicho kitendo….mtoto anaeza kuhimili kitendo lakini sio majukumu ya ndoa na familia na swala la uzazi kwa ujumla
Dini zote kuu 2 haziongelei miaka bali barehe na kuvunja ungo ndiyo kipimo cha kufikia utu uzimza.Wewe umeona mzazi gani au mwanajamii gani anafurahia au anahamasisha mwanae afanye ngono? Tena jamii za Pwani ndiyo zinawa expose na kuwajengea mazingira ya ngono watoto kwa tamaduni zao.
Kwa hiyo wewe na huyo niliyemjibu mnaona suluhu ni kuruhusu waoelewe wadogo, sio?
Mimi nafikiri uislam hauna tatizo bali waislam wenyewe ndiyo wapuuzi ama kwa makusudi tu au matamanio yaliyojificha ndani yao baadhi. Tumepewa akili lakini hatutaki kuzitumia.
Umechanganya mambo. Utu uzima na kuolewa ni vitu tofauti. Tanzania hii kuna makabila anaolewa mtoto wa miaka mitatu.Kwani umri wa mtu mzima unaanzia miaka mingapi? Na mtu mwenye umri chini ya miaka 18 tumaitaje?
Siyo kweli kwamba vifo vilikuwa vingi bali nikutofanyika kwa tafiti sahihi.Lakini kwa sasa let ya vifo ndiyo nyingi na let ya kuzaa kwa mikasi (operation )ndiyo imekuwa kubwa sana.na hiyo zamani vifo vilivotokana na uzazi vilikua vingi…sasa ndo wanataka waturudishe huko. Sijui wa nafikiria kwa kutumia nini
Ni mwaka 52 huu sasa,unaweza kuthibitisha hizo risks zilizothibitshwa kutokea kwa wanandoa wa umri huo?.unajua risks za kiafya za mtoto huyo kuolewa hata kama hasomi? Embu tuache kuendekeza ujinga in the name of dini
Ni kifungu kipi cha Ukristo kimeweka miaka fulani ndiyo ya kuolewa kama wewe siyo ndiyo mjinga.Nature inasemaje kuhusu mwili kuhimili majukumu ya uzazi?.Kuna wakati waislam wanakuaga wajinga sana sana.
Yaan uoe mtoto wa miaka 14 ?? Wee ni mbakaji tu kama wabakaji wengine.
Alafu umuache akiwa na miaka 16? Unatofauti gan na wabagaji?.
Waislam acheni ujingaaa !!.
Kwani zaidi ya hiyo papuchi yako,unakingine kipi cha kumpa mwaume?.na hizo sheria zote zimewekwa kumfaidisha mwanaume…zoooote yani zooooote. Mara wake wanne, mara mbinguni watapewa mabikra 1000 yani zote zina favor mwanaume
Mwaka wa 52 huu sasa sheria hiyo ipo.Wanajisafishia njia, binti wa miaka hiyo ni mdogo sana kuwa mke
Nashoga wanahusikajeee hapaaaa? Duuuuh kazi ipooo.Kwahiyo, mapepe mmoja afanye kundi zima lipotee..!!??? Vipi kama mtaani kwenu kuna mashoga..!!???
Nimewataja kwa maana hii ifuatayo, yeye kasema mtaani kwao kuna mmoja binti mmoja mapepe sana, hivyo ni bora tu aolewe akiwa na umri huo mdogo. Sababu yake kuu ni huo umapepe wa huyo binti. Sasa binafsi nikawaza, kama kuna mashoga mtaani kwake, tuwaache tu waendelee na tuukubali ushoga wao kisa wao wanapenda?Nashoga wanahusikajeee hapaaaa? Duuuuh kazi ipooo.
Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafadhari bwana..!!!Katika Uislamu Binti anaolewa katika Umri wowote ule.
Hata awe na Mwaka mmoja unaweza Oa.
Katika Uislamu unaweza kuoa hata Mimba ya mtoto wa kike.Tafadhari bwana..!!!
Mikoani wanaolewa sana, tena ndoa za kimila na kiislamu, Baadhi ya sheria za kiislamu zinafanana na zaki milaAnyway Mkuu nisingependa nicomment kuhusia na imani za watu ila ni suala la akili ya kawaida hivi mtoto wa miaka 14 kweli yupo tayari kwa changamoto ya kusimama kama mama au mke?...naamini hakuna mzazi mwenye akili yake timamu yupo tayari kumuoza binti yake wa miaka 14..NEVER...
Vijana wanatakiwa wakaulize mama zao waliolewa wakina na umri ganiNani alikudanganya miaka 14 ni mdogo?
Vijana waleo wanawaza kupanga maisha na mwanamke badala ya kupanga maisha ili mwanamke afate.Mwanamke yupo Kwa ajili ya kufuata maelekezo. Under traditional rules mwanamke hana ndoto badala yake anatimiza ndoto za mwanaume wake.
Na ni kupitia mfumo huo ambapo ndoa zilikuwa zinadumu after arranged marriage. Unataka utegemee mawazo ya mwanamke kutoka kimaisha? Utachelewa sana kama hautokwama kabisa.