KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Aliyemaliza darasa la 7 na kufeli ni lini serikali ilimrudisha shule?Au unaropoka tu ilionekane umechangia huu uzi?.Mtaani mzazi ambaye ana mtoto ambaye ana umri wa kwenda shule afu mtoto anashinda tu nyumbani, serikali kupitia ma afisa elimu waliunda operation kabambe ya kamata kamata waliwatia jela hao wazazi wakanyea makasha siku kadhaa kisha waliporudi makwao walikuta watoto wako shule.
Pengine mtaani kwako viongozi wa juu kama afisa elimu ni masheikh wanounga mkono itikadi kama hizo na ndio maana mambo kama hayo yanaendelea