BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Kuwaachanisha Waislamu/Uislamu na
1: Ugaidi
2: Umalaya
3: Kitimoto
4: Upumbavu
Ni kufafuta vita nao.
Akhasanta mdomo mali yako tukana mpaka uchoke likini ukweli utabaki kuwa ukweli tu,takwamu ya elimu inaonyesha watoto miaka 12,14,15 wapatao 6000 wamerudi shuleni baada ya kujifungua kafiri sifa yake ni kupinga ukweli uisilamu sifa yake kusema ukweli mtoto akisha vunja uongo sio mtoto tena bali ni mama kuolewa haki yake kafiri kila mtaa mawaona mnao waita watoto wakijiuza heti bado mnasema watoto bora kufa nikazikwa kuliko kuwa kafiri (mkiristo)
 
Hassan kaongea kuwakilisha bakwata akikazia Sheria ya serikali
Anakazia sharia au utamaduni wa Kiislam, fahamu ili Waislam wanawakilishwa na Bakwata katika serikali
Jitahidi usome ata cheti cha sheria ili usibishe bishe sana.
 
Anakazia sharia au utamaduni wa Kiislam, fahamu ili Waislam wanawakilishwa na Bakwata katika serikali
Jitahidi usome ata cheti cha sheria ili usibishe bishe sana.
We una shida gani!!?..hiyo Sheria ya serikali
 
Je tangu lini kuoa kukawa kinga ya kupata mimba? Huo mfano ni batili. Mimba wanapata hata watoto wa miaka 9, je turuhusu waolewe? Je Ukiruhusu hao kuolewa kama kinga ya mimba asipopata mchumba je? Ina maana tumekata tamaa kuwalea watoto wetu tunakimbilia kuwaoza kama mvuvi anavyouza samaki kwa bei ya kutupa ikifika jioni.
Kuwa muelewa kuolewa kutasaidia kila mtoto kuwa na baba pia kunamfanya mtu kuendea tendo la ndoa bila kuficho
 
Mkuu nadhani huja nielewa kabisa , mimi sijasema kuwa hii ni kinga ya mimba big no, ila nimesema kwa huo umri ikiwa kila hatua za uchunguzi zimezingatiwa basi msichana apewe baraka za kuozwa , kuozwa au kuolewa si kununua na hii dhana wengi wasio waislamu wanashindwa kujua lengo la ndoa , ikiwa mtoto hataki kubadilika , kuelewa , kusoma ni bora sna akapata ndoa , maana yake ata endelea na mambo ya hovyo hovyo huko mtaani na mwishowe anapata mimba
[emoji3581]
 
Back
Top Bottom