25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
[emoji3581]miaka 14 anaakili za maisha kuliko wewe unaishinda mitandaoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3581]miaka 14 anaakili za maisha kuliko wewe unaishinda mitandaoni
[emoji3581]Haaaa mkuu bila shaka utakuwa na watoto wa kike ndo maana panic yako iko juu sana.
Mkuu mm bado ni kijana na hao mabinti zenu mnao waita watoto nimewashuhudia shuleni nipokuwa nasoma na sasa hivi nawashuhudia mitaani tena wao ndo wanao tutega ili tuwatongoze.
Unalizia kuwa nimefanya utafiti lini mbona umeniuliza swali la kijinga mkuu?
Kwahiyo maelfu ya wanafunzi wa primaly na sekondari wanao tangazwa na wizara ya elimu kuwa wamechishwa shule kwa sababu ya ujautizo huwa wana umri gani ?
Mkuu punguza hasira ww kuzaa watoto wa kike haiwezi kutukataza kuongea uhalisia uliko mitaani.
Imesimama njoo ukalieAkhasanta mdomo mali yako tukana mpaka uchoke likini ukweli utabaki kuwa ukweli tu,takwamu ya elimu inaonyesha watoto miaka 12,14,15 wapatao 6000 wamerudi shuleni baada ya kujifungua kafiri sifa yake ni kupinga ukweli uisilamu sifa yake kusema ukweli mtoto akisha vunja uongo sio mtoto tena bali ni mama kuolewa haki yake kafiri kila mtaa mawaona mnao waita watoto wakijiuza heti bado mnasema watoto bora kufa nikazikwa kuliko kuwa kafiri (mkiristo)
Kuwa muelewa hiyo sheria halazimishi kuozeshaHatufanani. Kila mmoja yuko kivyake. Sasa wale ambao hawako sawa, wasitumike kuwakosesha nafasi walio sawa. Nawe nikuulize, UMESHAKUTANA NA BINTI AMBAYE KICHWANI YUPO VIZURI SANA..!!?? Kama jibu lako ni ndiyo, kwanini huyo asitumike kama mfano kwa wengine kuendelea na shule badala ya kuolewa wakiwa na umri wa miaka 14? Kwa maneno mengine, kwanini aliyeharibika atumike kama mfano wa wengine na ambaye hajaaribika hatumiki kama mfano?
Mkuu, hii jazba inatokana na ulivyokuwa indoctrinated ili usione mambo katika uhalisia wake. Ndio maana vitu vikizungumzwa katika uhalisia wake unahamaki.Wengi uwezo wa kufikiri ni mdogo...samahanini kwa kusema ilo
Sorry Mkuu.Mkuu, hii jazba inatokana na ulivyokuwa indoctrinated ili usione mambo katika uhalisia wake. Ndio maana vitu vikizungumzwa katika uhalisia wake unahamaki.
Sio kumpa mimba, ukibainika unatembea nae hata Kama haja Pata mimba makazi yako yanatakiwa kuwa mageza.Ila kufanya naye ngono na kumpa mimba na kumtelekeza ni sawa sio?
Una kichaa. Sheria ilishafutwa na MAHAKAMA KUU pamoja na MAHAKAMA YA RUFANI.Bado ipo,bakwata wanachosema isifutwe
Sheria haikufutwa,ndoa na Binti wa 14 yrs kwa kibali Cha mahakama bado ipoUna kichaa. Sheria ilishafutwa na MAHAKAMA KUU pamoja na MAHAKAMA YA RUFANI.
Kwa sasa haifanyi kazi.
Bila samahani.Sorry Mkuu.
Wakizalishwa mtaani wanasimama kama nani ?Anyway Mkuu nisingependa nicomment kuhusia na imani za watu ila ni suala la akili ya kawaida hivi mtoto wa miaka 14 kweli yupo tayari kwa changamoto ya kusimama kama mama au mke?...naamini hakuna mzazi mwenye akili yake timamu yupo tayari kumuoza binti yake wa miaka 14..NEVER...