Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
UMMA ni nini ? Na Nchi ni nini ? Nchi sio ya UMMA (Sasa kama kuna kitu hakinufaishi UMMA kinanufaisha vipi Nchi)?!!!!!Kifungu kipi hakijafafanuliwa?
Mali ya Umma huo umma umeiendesha kwa ufanisi? Mmefanikiwa nini kwenye kuiendesha nyie umma hadi kuifaidisha nchi?
UMMA kuwa mmiliki mpaka uendeshe wenyewe au kumpa mtu mmoja monopoly ? UMMA unashindwa kutoa Lease fupi fupi kwa watu tofauti ? Au kuna Bandari ngapi, zote lazima ziende kwa mtu mmoja ?
Hakuna watanzania wenye HATI Miliki kuliko wenzao kama kuna kelele za watu ambao hawajaridhika issue ni kueleweshena na kuongea kwa Hoja na pale ambapo wanasema upande mmoja hapafai kubadilishwa ili pawe sawa...; Ukiwaziba midomo watu hata kama jambo ni zuri kiasi gani na litakupa pesa kiasi gani UFA unaoujenga sasa Gharama zake za Kuuziba haziwezi kuwa equated na Pesa....