King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kwanini jicho la tatu mkuu?
Mwanasiasa asiyejua mila, desturi, imani za watu na kuziheshimu hawezi toboa
Hongera kwake uhuru kenyata
Tundu asiyejua hata desturi za misiba na heshma kwa wafiwa ana la kujifunza hapa
Vaa viatu vya lissu umiminiwe risasi 38 kisha 16 ziingie mwilini ,uwe kwenye coma kwa siku 5 ,damu zaidi ya 90% ilipotea,ufukuzwe ubunge,usipewe fedha za matibabu kisa "MTU FURANI" kakataa then huyo "MTU FURANI" umuonee huruma wakati alikuwa anataka ufe? Kufichua Ndege kukamatwa ndio usaliti? Dunia kijiji hauwezi kuficha kitu,kuhoji elimu ndio unaua mtu?
Kwahiyo kina BASHITE na baba yake waliomminia risasi walikuwa na SONI?Amemiminiwa risasi na nani? Mbona kwa hilo la risasi hatoi ushirikiano kwa vyombo vya usalama??
Huko twita kunamsadaije.
Halafu hivi Tundu ni muumini wa imani gani? Sababu waanzilishi wa imani zetu ndio role models wetu. Nina uhakika hata anayejidai kumuamini kiimani anaweza kumtukana tuu
Kwa misingi ya imani, mila, desturi na malezi Tundu atabaki kuwa Tundu... namaanisha Tundu lenye kutoa chafu tuu jamii. Binadamu gani asokua na soni jamaniiii kha๐
Thibitisha kwanza!Kwahiyo kina BASHITE na baba yake waliomminia risasi walikuwa na SONI?
Asingepisha Adhana wangemfanyaje? Just curious to know[emoji2]
Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.
Cheti hicho kimesainiwa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.
RIP Magufuli.
Tatizo la hawa wenzetu, "Waislamu", wanapenda sana kuheshimiwa wao na dini.
Lakini, wao ndio wa kwanza kuwaita watu wengine, "makafiri".
Waislamu, acheni unafiki. Na ninyi kuweni na heshima kwa dini za wenzenu.
Kula like mkuu. Kuna mda unakuwaga na akili sana...Yap,mambo kama haya yanaweka mbali sana chuki za kidini zinazoweza kiligawa taifa.
Kila dini kuheshimu dini nyingine.
Acha kufanya siasa chafu kwenye mambo ya msingi, mambo yanayohusu uhai wa mtu na mambo yahusuyo uhai wa taifa hayahitaji masiharaUsituchoshe kuuliza vitu unavyovijua.
Wameshindwa kuwatoa mashekh wa uamusho walio magerezani kwa kudai muungano. Bakwata na wanafiki.
Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.
Cheti hicho kimesainiwa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.
RIP Magufuli.
Uhuru Kenyatta amasoma Diplomasia na Uongozi . Elimu hiyo humsaidia mtu kuheshimu hisia na imani za watu. Wasio na elimu ya Uongozi wala Diplomasia huingilia hata imani za watu na taratibu za ibada za imani za watu. Unaingiaje kwenye nyumba ya ibada halafu unaanza kukosoa mavazi waliyovaa ikiwemo barakoa kwa utaratibu waliojiwekea katika imani hiyo? Utachukiwa n kuchekwa tu. hata ukiondoka duniani watu wanaweza kushangilia.
Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.
Cheti hicho kimesainiwa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.
RIP Magufuli.
Kwani hata hiki kilichotokea siyo petty? Mbona pamoja na kuwa petty mnazungusha mikoa na mikoa badala ya kukipeleka moja kwa moja Chato?Tatizo la waislamu hawa hawa so called Bakwata ni kujali vitu petty kama hivyo!
Acha kufanya siasa chafu kwenye mambo ya msingi, mambo yanayohusu uhai wa mtu na mambo yahusuyo uhai wa taifa hayahitaji masihara
Mtu anakuja kufanya kampeni anashindwa uchaguzi halafu anashindwa kufika kwenye vyombo vya sheria kutoa ushirikiano kupata haki yake??? Tena anakimbia kabisa nchi๐๐๐
King Kong hebu na wewe jiongezage bhana
Subiri taarifa ya habari baadae watakuwekea bwashee!Hicho cheti kiko wapi? Baraza la waislamu la Kenya ndio wamentunukia Uhuru cheti na kimeoneshwa. Sasa sijui wewe ni msemaji wa Bakwata? Angalau ungeliweka ushahisi sio maneno matupu tu
Umeanza vizuri ila umeharibu mwishoni kama alivyoharibu Jiwe alipoingia kanisani na kuanza kuwakandia masista, waamini na viongozi wengine wa kanisa waliokuwa wamevaa barakoa. Ni Muhimu kuheshimu dini au imani za watu na ukiingia kwenye nyumba zao za ibada usianze kupeleka utaratibu wako. Waweza kufa ukifanya hivyo. Mungu hadhihakiwiKwanini jicho la tatu mkuu?
Mwanasiasa asiyejua mila, desturi, imani za watu na kuziheshimu hawezi toboa
Hongera kwake uhuru kenyata
Tundu asiyejua hata desturi za misiba na heshma kwa wafiwa ana la kujifunza hapa